Arusha: serikali(polisi) yaendelea kutumia nguvu zidi ya wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: serikali(polisi) yaendelea kutumia nguvu zidi ya wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Nov 13, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna hamishahamisha inaendeleo huko ngaramtoni, wananchi wamegoma kupisha eneo ambalo hospital isiyoweza kupima hata maralia inataka kujengwa ni ya aga khan..polisi imebidi waongeze nguvu kutoka kampuni za ulinzi kama kk security...mpaka sasa hakuna tukio la kutisha..nitaendelea kuwa juza

  =====
  Tatito ilikuwa ni kwamba kuna wafanyakazi wa Aga khan wanadai malipo yao ndipo waondoke kupisha ujenzi wa hospitali ya aga khan. Baada ya uongozi wa aga khan kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake ndipo wakaamua kuleta FFU na KK Security kuja kuwaondoa kwa nguvu...
  Zoezi la kuwaondoa lilifanikiwa kwani polisi na KK walikuwa wengi kuliko waliokuwa wamegomea na walishauliwa madai yao waya peleke mahakamani....
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Magwanda bana hawataki hata hospitali ijengwe..

  Sasa hata hawajenga umejuaje kama hawawezi kupima hata Malaria kabla hospital hawajajenga?
   
 3. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni Ngaramtoni sehemu gani maana niko Ngaramtoni huku ili nikacheki na kujua zaidi
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Watu wengine ingali tunajaribu kuwaelimisha kila leo lakini wawezidi kuwa mizigo. Nasema hivyo kwa sbb,kama huyu ritz kazi yake ni moja kama alivyotumwa na mafisadi,ndg ritz mleta thread yeye katuangushia sasa nakuona unaanza mambo ya magwanda sasa cjui magwanda wametoka wapi kama unavyoangalia wewe,hebu kuwa mweleewa muda mwingine. Shwain sana wee!!
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani ardhi imeisha pamebaki eneo la makazi ya wananchi tu? Mbona CCM hamna huruma na wananchi kiasi hiki? Hivi mnajua adha inayowapata wananchi wakati wa hamishahamisha?
   
 6. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikari ya CCM Ilishalaniwa na MUNGU.
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280

  hivi we una akili timamu? magwanda inakujaje humu?
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ngaramtoni watakuwa manampikia Mungu chai. Kuna hospitali ya serikali, kuna ya seliani na sasa wanajengewa ya agha khan! Na hiyo ni kata tu!

  Hawa watakuwa wanatafuta kitu huko, sio bure!
   
 9. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haiwezi hata kupima malaria?.... AAArrrrrgfhhhhh!!!!!!, ushabiki mwingine unaboa!
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Na utakoma ukisikia tu ka kitu unakurupuka na kuwataja magwanda.
   
 11. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu watu wengine wapo ili waingize siku kwenye payroll achana nae mchembe huyo
   
 12. S

  Sangari Senior Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Changieni mada iliyoko jukwaani achane na huyu kichaa ritz hajui nyuma wala mbele. Hakuwai kuchangia mada hata 1 ikaeleweka, upuuzi mtupu.
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mleta uzi mbona umepotea tujuze zaidi nini kinachoendelea
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii ya kumpikia Mungu chai sijawahi kuisikia kabisa, duuuuuh.
   
 15. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu Crashwise ni Ngaramtoni ipi?Ya juu au chini? Halafu hebu fafanua kidogo ili tulio mbali na Arusha tupate picha kidogo ni kweli wananchi wanagomea jambo la maana kama hilo kweli?
   
 16. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  siyo ushabiki, ushaidi upo walishindwa kupima malaria ya mh zitto. kama hiyo ingetokea kwenye nchi zilizo na serkali hilo tatizo lingeishia mbali,hiyo hospitali ingechunguzwa kuona kama kweli inawataalam wenye ujuzi unaotakiwa katika nyanja zote, isingeishia kucheka cheka tu bongo style.
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkuu! Bila shaka hii ni Ngaramtoni ya juu kwenye lile shamba ambalo lilisemekana wanagawiwa wananchi na baadae mafisadi wakaamua kusitisha.
   
 18. O

  ONEDAYIKOSIKU Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwl Julius Nyerere aliwahi kusema binadamu anataka kuishi kama binadamu lakini kama haki hiyo atanyimwa basi atahitaji afe kama binadamu.
  Polisi wanahitaji kufahamu
   
 19. O

  ONEDAYIKOSIKU Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama serikali inataka watu waipende basi wapige marufuku watu kufikiri vinginevyo risasi,mabomu,gereza,haviwezi kulazimisha watu kuipenda
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kumbuka sakata la zitto acha kukurupuka....
   
Loading...