Arusha: Sasa kuna CHADEMA asili na CHADEMA family - "Lema ndiye tatizo kubwa" - Amani Salenga

hizi issue zilishafungwa na Dr slaa. Mod tenda haki kwa hawa wachochezi wachache wa CCM
 
Ktk Menejimenti, Ukishajua tatizo inakuwa rahisi kulishughulikia. Wakiamua kutatua tatizo, litaisha
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?

mkuu, niwie radhi ila una tabia ya unafki - ni majuzi tu umetoka kutuambia hapa mjumbe wa kamati kuu cdm aliyepingana na maamuzi ya wenzie kuwavua uongozi akina zzk afuate taratibu ndani ya chama na kwamba asiropoke tu kwenye media. Ila kwa lema kuropoka hapa jf na tuhuma lukuki dhidi ya zzk (bila kujali ni za kweli au la) kwako hukuona ni tatizo badala yake ulikuwa unampongeza 'kamanda' mbali ya kwamba naye hakufuata taratibu za ndani ya chama!! kwa hiyo kwako sheria na taratibu za kinidhamu ndani ya chama ni kwa 'wengine' tu ila kwa akina lema hapana...........watu wabaguzi wa aina yako ndo mnaopelekea chama kutoaminika kwa wananchi wote!.
 
Hii yote mwisho wake ni baada ya siku 14 waliopewa wahifadhina kuisha. Maana ataondoka na wafuasi wake naukweli pa kuwapeleka hana, kitakacho endelea ni ZZK kutimukia zake Ughaibuni kula pesa aliyolipwa na ccm alafu hawa mamluki ndio watajutia dhambi wanayoifanya ya USALITI inauzito gani?
 
Ktk Menejimenti, Ukishajua tatizo inakuwa rahisi kulishughulikia. Wakiamua kutatua tatizo, litaisha

Zimebaki siku chache tu hekaya hizi zitafikia tamati. Ni pale Joka kuu litakapopondwa kichwa likafilie mbali! Tuone watakaomfuata watakuwa wangapi kama si familia yake na Buku7 FC.
 
Ktk Menejimenti, Ukishajua tatizo inakuwa rahisi kulishughulikia. Wakiamua kutatua tatizo, litaisha

Mkuu naheshimu mawazo yako, napenda kukuakikishia kuwa ndani ya Chadema tatizo lilishajulikana, na ukijua tatizo sio tatizo tena.
Subiri siku 14 walizopewa wale Wasaliti zimalizike ndio utaamini ninachokisema.
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?

malaya saanane angeunga mkono mbowe asingekua muhuni eeh ? kwa hio wote wanaopinga uoumbavu wa mzinifu Slaaa na wapuki mbowe ni wahuni ?

mnalo hilo kidalipo ukalale nacho
 
Namfahamu vilivyo AMANI SILANGA,ni mchumia tumbo na mchungaji aliekimbia kondoo wa bwana kule LONGIDO.Huwa anapitapita kuomba ela ktk ofisi za watu binafsi hapa arusha na amejipachika mwandishi wa sunrise radio ilhali ni darasa la nne.Huyu sio mwenyekiti wa cdm monduli ila alishagombea ubunge kumpinga lowassa ili aitwa pembeni apewe chochote ila X PM alimwona hana madhara.Kwa kifupi ni MATONYA na tapeli
 
vita vya maneno sasa vifike mwisho chadema tupigane vita yenyewe kabisa watakaoshinda ndiyo wachukue chama kwani lema yeye nani mpaka asumbue watu kiasi hicho.
Ni Mchaga, hivyo anahaki ya kuamua lolote ikibidi kumpiga mtu kitofali bila mtu mwingine kumhoji. Japo ni Book no, lakini hiyo sio Sababu ya msingi ikiwa yeye ni Mchaga.
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?

Naamini watashindwa tu. Baada ya wiki mbili, hizi kelele zitakuwa kimya milele.
Chadema ni chama cha mioyoni mwetu, ni ngumu kukifuta. Ni tofauti sana na CCM ambayo ni chama cha kusaka maslahi binafsi.
Pipozzzz......
 
Mkuu naheshimu mawazo yako, napenda kukuakikishia kuwa ndani ya Chadema tatizo lilishajulikana, na ukijua tatizo sio tatizo tena.
Subiri siku 14 walizopewa wale Wasaliti zimalizike ndio utaamini ninachokisema.
Wanywa viroba munanichekesha sana, yani mtu kutaka kugombea nafasi ya Mwenye kiti ni Usaliti?
 
Back
Top Bottom