Arusha: Sasa kuna CHADEMA asili na CHADEMA family - "Lema ndiye tatizo kubwa" - Amani Salenga

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.
 
Hii vita inatakiwa kupigana kitaalamu
Zaidi sana majibu yake ni kumuomba Mungu
 
LEMA EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Cambridge International CollegeDiploma20082010DIPLOMA
Geita Secondary SchoolO-Level Education19891991SECONDARY
Kolila Secondary SchoolA-Level Education19911993SECONDARY
Kalangala Primary SchoolPrimary Education19831989PRIMARY
Cambridge International CollegeDegree2010TodateNOT COMPLETED
 
Lema ni wa kwetu kwann asipewe nafasi? vp nafasi ikaliwe na mtu wa kwingineko? Hapa tutatekeleza majukumu yetu kama tulivyotekeleza kwa chacha wangu!
 
vita vya maneno sasa vifike mwisho chadema tupigane vita yenyewe kabisa watakaoshinda ndiyo wachukue chama kwani lema yeye nani mpaka asumbue watu kiasi hicho.
 
Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha



Hapo tu ndipo ninapoona mgogoro unakuzwa.Kundi B linavyooushabikia,hao vijana wengi tunaoambiwa walikuwepo kwa jinsi ushabiki wa kundi hilo ulivyo,tungewekewa picha zao vinginevyo ni huyo zombi mmoja wa Chademaccm tunayemuona hapo,hakuna jipya
 
Amri ya Dr. Slaa ya kufunga mjadala haijasikilizwa kabisa. Slaa hana uwezo wa kuongoza ndio maana Lema na viongozi wengine wa Chadema hawaheshimu maelekezo yake...
 
Nawakumbusha wapenzi na wafuasi wa CHADEMA WA jF, usomapo hii thread, MKUMBUKE KUFUATA/KUTII KAULI YA KATIBU MKUU.
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?
 
Back
Top Bottom