Arusha: Sasa kuna CHADEMA asili na CHADEMA family - "Lema ndiye tatizo kubwa" - Amani Salenga

A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.

Hata kama mi si mfuasi wa CDM lakini to be honest unatia huruma
 
unadhani yote hayo yanaweza kutusaidia nchi yetu tukawa na umeme na maji ya uhakika?
 
...magamba mtafururkuta weeeee lakini hamuwezi kupandikiza mpasuko arusha kwa mbinu yoyote ile, haya mamilioni mngeenda kuanzisha saccos ingefaa sana kuliko kukesha mnahonga watu wajifanye chadema....
 
Hao ni vijana wanaokusanywa na ccm na kulishwa maneno ili ionekane kuwa kuna mgawanyiko CDM. CHADEMA tunaijua. Lema tunamfahamu ninyi na kakundi kenu ni akina nani! Ondokeni. Hatuwajui kamwe!
 
Kumbe Lema ni jemedali wa kweli! anaweza kuipeleka kuzimu Chadema wakati CCM na vidampa wala ubwabwa kama wewe mmeshindwa! Kweli Lema ana nguvu zaidi ya CCM.

akili ya huyu Matola haijai kwenye kisoda sijui akiwa kwa mkewe anakuaje?? labda mke awe TOMBOY ili mke awe ana amri za ki mume alafu matola awe anaishia jikoni na kuandaa msosi mezani cc Ritz THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
CCM inapohamia CDM full huku mkiwa mmeisahau CCM yenu. Ngoja mrudi kwenu ndiyo mtajua kuna mlichokuwa mnakifanya kama kimelipa au kimewalipua
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?

Wewe ndio unyamaze kabisa, una kashfa nzito ya kutaka kumuua Zitto kwa sumu. Na hata mama yake juzi amethibitisha hilo kuwa mlijaribu kumuua mkashindwa. Jisafishe kwa hili kwanza.

Huyu hata angejisafishaje hawezi kutakata,huyu ni jambazi na dawa ya jambazi ni kifo tu,huwezi ukatembea na sumu kwa zaidi ya mwaka mmoja eti unatafuta kumuua mtu then uje utuambie kwamba ulikuwa unawachunguza watu!!

Huu ni wizi wa kimawazo kabisa,anadanganya watu ili wamuone ni muungwana kumbe ni jitu lenyewe ni comedy,huyu jamaa nilikuwa namheshimu saana kutokana na comment zake humu jf lakini baada ya kugundua baadhi ya madudu yake,yani sitaki hata kuona anazungumza jambo lolote.
 
Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?

Mkuu Ben Saanane nakwambia huyu fisadi anawanga hamnaga mfano. Yuko kampan moja na huyu Diwani wa Mlangarini anayeitwa Mathias Manga yani nakwambia ya kwamba hata hilo Bango ni imeandaliwa tu na kupigwa picha na huyu mtumwa aliyeibandika akaja nalo hapa jamvini akifikiri atawakuta wehu wenzake kumbe anawakuta watu na akili zao timamu.

Huyu member sijui yuko wp siku hizi sokoinei.......hebu kuja kipande hii chap chap kwa maoni yako ya picha na kinachoendelea.
 
Hata wewe nina mashaka na akili zako. Kuishabikia Chadema unahitaji akili ya msukule.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mgogoro chadema arusha.Mbona mbeba bango ni mla viroba wa pale eso?
A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.
 
Wananchi wa jiji la Arusha ambao ni wafuasi wa CHADEMA waandamana na mabango wakimshinikiza Godbless Lema ajiuzulu kwa kuwa jimbo limemshinda

1.png

Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)..

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa Mbunge wa Arusha, Godbless Lema ndo chanzo cha vurugu ndani ya CHADEMA kwa kuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama mkoani Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto),basi kila mwanachadema anatakiwa atambue kuwa ndani ya chama hicho kuna pande mbili , CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY.

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamelaani hatua ya chama chao kuwafukuza viongozi wao pasipokufuata katiba ya chama na kusisitiza kuwa Lema ndo tatizo ndani ya Chadema

Back
Top Bottom