Arusha: Sasa kuna CHADEMA asili na CHADEMA family - "Lema ndiye tatizo kubwa" - Amani Salenga

"Naomba niseme na naomba ibaki kuwa hivyo!

Kama kuna mtu yeyote anafikiria Lema ni chadema basi amekosea sana!

Lema si mwanachadema hata kidogo na Lema huyu huyu ndiye anaetumiwa kuivuruga chadema si Arusha pekee bali katika baadhi ya maeneo mengine tena nchini!

Lema alianza kuivuruga chadema hata kabla hajatangaza kugombea ubunge,na hata wakati yukonTLP kazi yake kubwa huko ilikuwa ni kuivuruga TLP ambayo hakuna mtu asiyejua yaliyokuja kuipata TLP baadae!

Huyu huyu Lema hata huo ubunge alioupata ni kwa sbb ya ccm ambayo ilifanya mkakati maalum wa kuhahakikisha kwamba anapewa kama shukrani pia kama malipo ya kazi yake kwa kazi hiyo maalum!

Ushahidi wa haya yote angalia yanayoendela Arusha pengine hii yote ni mipango yake anayotekeleza kwa kazi maalum aliyotumwa,ni mara ngapi kwenye mikutano yake kumefanyika vurrugu za ajabu ili kuchafua hali ya chadema?!,leo ameonekana zitto kwa mba ndiye msaliti.

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake,mwisho wake utafika tu Lema."
 
Mdanganye aliezaliwa leo.
 
Kwa hadhi ya mji wa A.town LEMA hafanani nao kabisa sijaju alishinda kwanini? natambua hata Hitler alishinda kwa kura.
 
LEMA EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Cambridge International CollegeDiploma20082010DIPLOMA
Geita Secondary SchoolO-Level Education19891991SECONDARY
Kolila Secondary SchoolA-Level Education19911993SECONDARY
Kalangala Primary SchoolPrimary Education19831989PRIMARY
Cambridge International CollegeDegree2010TodateNOT COMPLETED

Mmmmmh? Kasoma Kolila ya enzi hizo? na ktk profile ya kijana mwenzake Zitto niliona nae alipita Kibohee na ni enzi hizo za mwanzoni mwa 1990's sasa hapa ndo naamin hawa vijana wote wanaasili ya ujanja ujanja tu.
 
Huyu atakuwa katumwa na Mamvi. Njaa inayosababishwa na CCM hapa Tanzania inawatesa sana vijana wengi.
 
jaman nauliza hakuna mchaga aliyewahi kufukuzwa chadema?
Kamuulize MTEI, yeye ndie mwenye dhamana ya kuwatimua wanachama wanaonyesha nia ya kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama.
 
LEMA anaharibu sana taswira ya chadema,ni hatari sana kwa ustawi wake,na vijana wengi wa Arusha WANYWA VIROBA WATAKUA VILEMA SANA KWA KUFUATA MKUMBO WA MAANDAMANO YA LEMA
 
Wewe si akili na matendo yako ni sawa na Lema ndiyo maana unasema hivyo,unajua watu waliozoea kushikishwa ukutu akili zao ni sawa,na zilikwishaharibika!!
Yaonekana umeishiwa hoja juu ya PANYA wenu ZITTO,Yaonekana pia umevurugwa na uamuzi mzuri wa CC
 
Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
Kutoka Monduli hadi Arusha ? Lowasa kaanza kupata nafuu kwa jina la mgogoro wa Chadema .Kwa nini wasisemee huko huko Monduli na viongozi wa Wilaya ?

Wanatakiwa kuadhibiwa na wakikataa adhabu waingie CCM .
 
Yaonekana umeishiwa hoja juu ya PANYA wenu ZITTO,Yaonekana pia umevurugwa na uamuzi mzuri wa CC

Nitakuwa wa mwisho kuvurugwa tena nikiwa marehemu,wenye kuvurugwa ni nyie kwa sbb ndiyo shughuli zenu hizo za kujipatia kipato,ndio mana akili zenu ni kama za samaki!!
 
Nitakuwa wa mwisho kuvurugwa tena nikiwa marehemu,wenye kuvurugwa ni nyie kwa sbb ndiyo shughuli zenu hizo za kujipatia kipato,ndio mana akili zenu ni kama za samaki!!
Tokea ukose ajira cku hizi hutoki humu bw mwigamba,ila ktk waraka kuna kafungu kama 2m PANYA ameahidi kuwapa msiteseke kama ivi.
 
Jamani msi kurupuke,huyu bwana nimwenyekiti wa chadema Monduli,alicho kisema kwa waandishi wa abari juzi na Jana sio msimamo wa Chama wilaya na tumesha kanusha mkoani na kanda kwa maandishi.na Akuna mwanachama ata mmoja wa Jimbo letu ame ungana nae kwa anacho kifanya,ilo alilo nalo nigenge lawa huni alio wa nunua kwa pesa zaku hongwa na walio muhonga,huyu nae safari Yake ndani Chama Ime fika mwisho.
 
Tokea ukose ajira cku hizi hutoki humu bw mwigamba,ila ktk waraka kuna kafungu kama 2m PANYA ameahidi kuwapa msiteseke kama ivi.

Ninao uwezo wa kukulisha wewe,mkeo,mama yako,baba yako na watoto wako wote kwa miaka 100 bila kufanya lolote lile,kazi yenu ni kunywa,kufanyana na kuzaliana tu na bado hamuwezo kumaliza hazina niliyokwishajiwekea!

Huyo Mwigamba unamjua wewe,na kama unadhani hii ID ni ya Mwigamba umekosea sana na ndiyo maana nasema akili zenu ni kama za samaki mmekalia kuhisi hisi tu kila kitu!

Narudia kusema wewe na Lema ndio mnaokisaliti chama mkoani Arusha,na jaribuni kupeleka huo ujinga wenu mlioupata kutokana na kazi ya kushikishwa ukuta kule kwetu Mara na hasa Pale Serengeti muone,tutawasara mara mbili,wehu nyie!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom