Arusha: Rufani ya Sabaya yapokewa Mahakama Kuu

Ngoja tusubirie maamuzi ya tarehe 31/05/2022 tuone nayo yatakuwaje??
 
bado Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi tarehe 31 ambayo hachomoi lazima agongwe miaka 30 Jela ***** zakeyote kwa yote hata akija kutoka Jela naamini akili itakuwa imemkaa vizuri na wenge lote limemtoka,hata akiona Kuku atakuwa anapiga magoti na kutoa shikamoo,kule Jela Kisongo Manyapara yameshamtoa marinda yote kawa Choko tu sasa hivi ubabe wote kwisha habari yake,chezea Jela wewe,hahaha
Akili za Kichawi Hizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa akishatokamo atatakuwa na adabu kwa wakubwa na wadogo - kashanyooka huyo mwachieni sasa dadadeq.
 
Back
Top Bottom