Arusha residents plz read this | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha residents plz read this

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by snochet, Jul 20, 2011.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  poleni na majukumu,
  tulikuwa tunatamani sana kuwa na sehemu ambayo tunaweza tukaongea na kujadiliana kuhusu mambo ya mkoa wetu,hata kusaidiana katika shida na raha,leo nimefanikiwa kufungua group hapa kwenye JF kwani posts zetu nyingi na matangazo yetu mengi huwa yanafunikwa na watu wa nchi nzima ambao ni wengi mno kwenye general forums na nitafurahi kama mtaniunga mkono kwa kujiunga,nmnakaribishwa sana,naamini umoja ni nguvu,na pamoja tutafika.....group inaitwa "arusha dwellers" na inapatikana katika link ya arusha dwellers - JamiiForums | The Home of Great Thinkers ,ninawashukuruni nyote.siku njema
   
 2. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Arusha mnataka kuwa sudani kusini au zanzibar?
   
Loading...