Arusha: Rais Samia awatunuku Kamisheni maafisa wapya wa JWTZ

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Rais Samia anawatunuku kamisheni maafisa wapya wa JWTZ, tukio liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.

Updates;
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na kuwatumikia kamilisha maafisa wapya wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli.

- Rais Samia amewasili katika katika Chuo cha mafunzo Monduli.

- Magwaride mbalimbali yanaendelea katika viwanja hivi.
 
Hivi hata nchi kama Ujerumani huwa haya mambo Raid anaacha shughuli zake ñyingiñe anaanza kuvisha vyeo wànàjeshi tena mubashara?
 
Haya mambo sijawahi ona katika nchi nyingine eti Rais anapoteza muda wake kwaajili ya kutunuku nishani tu.Mbona hii ipo TZ tu na kwanini hasa inakuwa hivi naomba kufahamu.
 
Haya mambo sijawahi ona katika nchi nyingine eti Rais anapoteza muda wake kwaajili ya kutunuku nishani tu.Mbona hii ipo TZ tu na kwanini hasa inakuwa hivi naomba kufahamu.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu anapoteza muda kutunuku nishani kwa maofisa wa Jeshi? Kabisa kabisa unaandika hivi ndugu yangu? Dah nchi hii ina vichwa vigumu sana!
 
Rais na Amiri Jeshi Mkuu anapoteza muda kutunuku nishani kwa maofisa wa Jeshi? Kabisa kabisa unaandika hivi ndugu yangu? Dah nchi hii ina vichwa vigumu sana!
Nahitaji kufahamu ndugu yangu maana hii kazi ni nyepesi sana ambayo inawezwa fanywa hata na Tundu Lisu,nifahamishe kipi hasa kinazingatiwa najua sheria inamtaka afanye hivyo je,lipi hasa dhumuni la kumpa Rais pekee mamlaka ya kutoa nishani kwa maafisa jeshi.Nchi nyingine hawana haya mambo.
 
Haya mambo sijawahi ona katika nchi nyingine eti Rais anapoteza muda wake kwaajili ya kutunuku nishani tu.Mbona hii ipo TZ tu na kwanini hasa inakuwa hivi naomba kufahamu.
Wakifanya nchi zingine mnasema kwanini sisi hatufanyi wakati wenzetu wanafanya.
Na wasipofanya wenzetu tunasema Kwanini sisi Tunafanya wakati wenzetu Duniani hawafanyi.

KWA STAILI HII YA FIKRI MGANDO HATUTAKUJA TUTOBOE. Yaani tumekuwa wanafunzi tusio na Fikra huru, tunasubiria kuigilizia tu.
 
Hivi hata nchi kama Ujerumani huwa haya mambo Raid anaacha shughuli zake ñyingiñe anaanza kuvisha vyeo wànàjeshi tena mubashara?
Kila nchi ina Katiba yake ndio maana. Hiki anachofanya Rais kipo kwenye katiba hivyo hakuna mtu atakayetoa Kamisheni kwa wanajeshi zaidi ya Rais, hata akiwa hayupo au anaumwa atasubiriwa tu na hakuna wakutoa kwa niaba yake na hii ni tangu awamu ya kwanza ya Nyerere.

Japo sio kila nchi inafanya hivyo lakini zipo zenye utaratibu huo ambapo na nchi yetu iliona ni vema kufanya hivyo. Utangawazi umesaidia sana maarifa. Hivyo tusiwe wavivu kutafuta taarifa na Historia mbalimbali kwenye Google.
 
Back
Top Bottom