Una uhakika hawana silaha mkuu?Me huwa nashangaa!Hiv wanamlindaje hali yakuwa hawana hata silaha?
ONLY in Tz(nowhere else all the planet).kwani wakipeana kwenye makambi yaohaitoshi? Kuna siku chuo kikuu mahafali yatapelekwa uwanja wa Taifa.
Na Watu watashangilia tu.
Sukari ilikuwa 1800/= mikoa mingi. Hapa Dar ilikuwa inauzwa hadi 1600/=.Magu akiingia madarakani sukari ilikuwa bei gani sijaelewa hapo
Watu "wasiojulikana" wanaweza kumshambulia "mtu yeyote" yule nchini; kwa sababu "hawajulikani" kama ni raia wa nchi hii ama ni kutoka nje; wala malengo yao "hawajulikani", hivyo ni busara kwa kila mtanzania(akiwemo rais) kuchukua tahadhari.Nimewapenda jinsi walivyo slim bila vitambi.
Naomba kujua kwanini rais licha ya kuwa kwenye eneo kama lile lakini bado wale wazee wa suti wako nae Benet na uangalizi mkuu!?
Sounds ridiculous!Haina madhara mkuu, kama mazoezi ya kiaskari siku hizi yanafanyikia mijini katikati ya makazi ya watu, sembuse sherehe bana! Yaani hakuna madhaara kabisa.
Ni Biblia na kurani tu ndiyo huwezi badilisha kitu..mengine yote yanabadilishwa kijana, sijui hata hiyo elimu inawasaidia nini, taifa limekosa nini kwa kubadilisha mazoea ya sherehe hii, orodhesha...LAKINI WAKUU, MWENYEWE KASEMA KUWA URAIS ALIOMBA KWA KUJARIBU AKASUKUMIZIWA
KUANZIA LEO SITAMLAUMU MAGUFULI, URAIS HAUKUWA MOYONI MWAKE, TUMLAUMU ALIYEMSUKUMIZIA.
PLEASE MR. PRESIDENT, KAMA KWELI ULISUKUMIZIWA, TUNAOMBA 2020 JITOE, PLZ..
MH. SIASA KWENYE SHUGHULI YA KIJESH NI HARAMU, TENA HARAMU KULIKO HATA KUZINI.
Sasa anavyosema kuwa ilikuw 5000 mpaka 6000 anamdanganya nani?Sukari ilikuwa 1800/= mikoa mingi. Hapa Dar ilikuwa inauzwa hadi 1600/=.
Subiri siku ukiwa rais utafanya haya unayosema..Kweli tuna rais asiye na mpangilio wa mambo. Speech zile zile za kusafirisha tani moja kujenga reli na bei ya sukari anarudia kila siku. Hadi leo anashukuru kwa kuchaguliwa. Kwani si alishafika Arusha na kushukuru. Hawa madiwani na huko jeshini wamefuata nini?
Sina mpango huo na hata siku nikiwa rais siwezi kuwa kichwa panzi hivyoSubiri siku ukiwa rais utafanya haya unayosema..
Mkuu nakumbuka bunge livekwani wakipeana kwenye makambi yaohaitoshi? Kuna siku chuo kikuu mahafali yatapelekwa uwanja wa Taifa.
Na Watu watashangilia tu.
Anajidanganya mwenyewe. Yeye ndiye aliyesababisha sukari kupaa na kufikia hiyo bei ya 5000/= hadi 6000/=. Alipokurupuka na kupiga marufuku kuingiza sukari ya nje kabla ya kujua nchi ina kiasi gani na mahitaji ni kiasi gani. Uamuzi huo ndio uliosababisha hadi sasa sukari haikurudi tena kwenye sh 1800/=.Sasa anavyosema kuwa ilikuw 5000 mpaka 6000 anamdanganya nani?
Kama una roho MBAYA, sawa; lakini kama una uchungu kutoka moyoni juu ya hali halisi ya maisha ya watanzania, ni mzigo; tena MZIGO HASWA.Ikulu patamu Sana!