Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,262
- 7,344
Hao wameru ni wachaga wa machame waliochangamkaWameru noma sana....
Hao wameru ni wachaga wa machame waliochangamkaWameru noma sana....
Hao ndio kila siku, alphonce mawazoHata wapinzani hufa pia.
Nadhani ilikuwa kesi ndogo hivyo waliona hakuna hatari kubwa. Sidhani hata ni uzembe kwani duniani kote polisi wamekuwa victims wakati waki-deal na wahalifu. Ila huyo jamaa akikamatwa atajuta. Ni bora ajiue kabla hawajamkamata.Anaendaje polisi mmoja kukamata mwizi saa tano usiku! Polisi wengine hakuna wa kusaidiana?
We kweli popoma,yaani mtu afanye ujambazi kisa tozo na ajira.Hizo ni tabia tu za watu na ni maisha waliyoyachagua wenyeweWaziri Wa Fedha na Bunge lilivopitisha maongezeko ya kodi na tozo, pamoja na kusitisha ajira kwa miaka 6 kwa wahitimu, walitegemea vijana wafanye kazi gani??? Kama sio kuwa majambazi na vibaka.
Kwani uongo?atadakwa tu siku atakayogusa simu tu wanaye ila polisi wana mbinu aisee nimewavulia kofia
Alikuwa hajafikia cheo cha Commender.R.I.P Commander.
Anaitwa afande damas eliakim magoti zamani alikuwa kituo cha usa river, sijui ikawaje akahamishiwa huko mbughuni.Jina la aliyefariki je? Au familia yake bado haijataarifiwa?
kumbe ni kijana barobaro kabisa Aaaaagh nahisi harufu ya mbususu hapa maana daaa usikute mke wa mtuhumiwa alishoboka na bwana Afande akampa apoitmant ila dili likasanuka kikaumanaAnaitwa afande damas eliakim magoti zamani alikuwa kituo cha usa river, sijui ikawaje akahamishiwa huko mbughuni.
View attachment 1867392
View attachment 1867393
View attachment 1867394
Kuna la kujifunza hapa, Askari kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa peke yake usiku tena bila kuwa na search warrant au kibali cha kuingia ndani ya nyumba hiyo ni hatari kabisa .Au alienda kutengeneza mazingira fulani.?Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi.
Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda nyumbani kwa mhalifu kwa lengo la kumkamata.
Kwa mujibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi ACP-Justine Masejo askari huyo alifariki dunia muda mfupi baada ya kuvunja damu nyingi.
"Askari wetu katika kituo kidogo cha polisi Mbughuni alikatwa panga kichwani na kufariki dunia baada ya kwenda nyumbani kwa mhalifu majira ya saa tano usiku lengo la kumkamata, hivi Sasa polisi wanaoendesha operesheni ya kumsaka ili afikishwe kwenye vyombo vya dola"alisema Masejo
Kamanda alifafanua kwamba askari huyo alienda Nyumbani kwa mtuhumiwa kwa nia ya kumkamata kuhusiana na matukio ya wizi wa mazao na kwamba wakati akijaribu kumkamata ndipo alipotokea mhalifu mwingine Nyumba ya jirani ambaye alimkata panga moja kichwani askari huyo nakupoteza Maisha.
Aidha Masejo aliongeza kuwa kabla ya tukio hilo mwananchi mmoja alifika katika kituo cha polisi Mbughuni kulalamika.juu ya mtuhumiwa wa wizi wa mazao yake ambapo polisi walianza msako wa kumvizia mtuhumiwa huyo.
Alisema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa uchunguzi, aliweza kufanikiwa kutoroka baada ya tukio hilo na polisi wameanzisha msako Mkali dhidi ya Watuhumiwa hao .
Ends