Arusha; Nyumba za polisi zaangukiwa na mti na kusababisha maafa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,739
Mti mkubwa umeangukia moja ya nyumba wanazoishi Polisi wa kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha na wilaya ya Arusha....
92a2a8cfe6ce46555e7cf9aa857fc705.jpg

cc3c227138b2267ff368f649cb1d331c.jpg
 
serikali iangalie utaratibu wa kuwajengea hawa ndugu nyumba bora.

Waondokane na zile nyumba kama kasha la kobe, zile za mabati a.k.a. Full sut.
 
HABARI PICHA HIZI HAPA
 
Attachments

  • IMG-20160522-WA0026.jpg
    IMG-20160522-WA0026.jpg
    117.7 KB · Views: 71
  • IMG-20160522-WA0025.jpg
    IMG-20160522-WA0025.jpg
    129.1 KB · Views: 58
  • IMG-20160522-WA0024.jpg
    IMG-20160522-WA0024.jpg
    94.8 KB · Views: 53
Polisi wanaishi katika mazingira magumu Sana tofauti Na kazi zao wanazofanya . Hapo Arusha tembelea gereza la Kisongo ujionee wanajela walivyorundikana. Mbona wana kitengo , TAKUKURU etc awaishi hivyo ? Upendeleo uhamsha hasira Na chuki matokeo yake Ni Uasi.
 
Nakumbuka miaka ya tisini kuna askari alimwaga njugu kwenye hayo mabati kukatokea maafa haswa...mwishoni na yeye alijimaliza
 
Polisi wanaishi katika mazingira magumu Sana tofauti Na kazi zao wanazofanya . Hapo Arusha tembelea gereza la Kisongo ujionee wanajela walivyorundikana. Mbona wana kitengo , TAKUKURU etc awaishi hivyo ? Upendeleo uhamsha hasira Na chuki matokeo yake Ni Uasi.
Halafu Chadema tukiwatetea wanatupiga mabomu...
 
Back
Top Bottom