Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
leo majira ya Mchana maeneo ya December kata ya levolosi Diwani aliyesaliti akatimuliwa ameonja shoruba ya peoples power pale alipoenda mitaa hiyo maarufu kwa kuuza spea kutafuta spea na kukabiliwa na wakati mgumu pale alipoambiwa kwamba hawawezi kumuuzia spea kwani yeye ni msaliti wa mabadilikoo ya Taifa hili , na ndipo alipoanza kuzomewa na wananchi na kutaka kupigwa ndipo akatoa bastola hili ajitetee . ilikuwa ni noooooma