marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
Mkuu naona sifa zako za kipekee! Mie pombe sigusi kabisaa. Yaani sijawahi kuonja! Mtu wa fanta mimi Lol
Karibu sana Ronn!!
Mkuu naona sifa zako za kipekee! Mie pombe sigusi kabisaa. Yaani sijawahi kuonja! Mtu wa fanta mimi Lol
Ila cheki na mfuko wako. There are so many lodges here in town, uwezo wako tu. Ila kwa sababu wewe ni Ilborian mwenzangu, I recommend The African Tulip. I like this place bana..
jombaaa.....huko unakokwenda kula mshikaki.....kuna idadi kubwa sana ya ajali za mbwa barabarani....ukianza kubweka....usiseme sikukuonya......utafrahii....
aisee karibu tena,Ar mjini lami mitaa mingi sasa!pale chini ya technical kuna kasehemu kanaitwa Narok,hebu pitia ukipata kamda!!naona wadau wengi wameishakuambia wapi pakufikia na sasa najua upo mmepumzika,na kabaridi haka,lol
jombaaa.....huko unakokwenda kula mshikaki.....kuna idadi kubwa sana ya ajali za mbwa barabarani....ukianza kubweka....usiseme sikukuonya......utafrahii....
Kumbe wa Ilboru wengi humu! Ila wewe umegraduate recent eenh
Mhandisi acha kumbania mgeni,hivyo ndivyo vionjo anapaswa avipate kwanza kabla ya kumpeleka yale maeneo yetu...bado niko kny mradi wa kambi ya nyoka mpaka kimba,tuchekiane...
Arusha ni njema jamani! I love the City. Kwanza nimesoma Ilboru A level, so I know it. Sasa nimekuja kwa programu fupi
tuu ya wikiendi hii. Nimekulaje mishkaki! Hii barabara ya Nairobi (kambi ya fisi) chini kidogo ya technical kuna mzee
anapika mishkaki ya ukweli. 300/= tuu! But imagine mtu anakula 20 chap chap. Sasa wadada na wamama wanakuja peke
yao (sijui waume/mabwana zao wakwapi!) Yaani hii mishkaki nyama za kwa mromboo hazioni ndani.
Na nimefurahi sana barabara zote za mitaani ambazo zilikuwa za vumbi sasa wameweka na wanaendelea kuweka lami.
What a lovely town! I love it! Taarifa ziwafikie YNNAH, Erickb52, Filipo, PakaJimmy, daudi, fabinyo,
Mungi, LiverpoolFC marejesho, Jackbauer na matwi kuwa nipo Arusha japo kwa siku mbili! Hebu nishaurini
kahotel kazuri kakufanyia honeymoon na my sweetie lilito jeneneke! Halafu mnipe na nyingine kwa ajili ya mzee
mzima Kaizer na mpenziwe gfsonwin wajikumbushie enzi zao! Pole Bishanga bukoba mna nini cha kujivunia zaidi
ya senene!
We kijana umenifanya nitamani sana kwenda kula raha ngur....maana dah pametulia sana kuleNaam Ronn M nadhani wewe mwenyewe umethibitisha maneno ambayo Erickb52 alikuwa anayesema kila kukicha kuwa "Ukitaka jiji la kuishi njoo Arusha."
Kusuhu hotel nzuri kwa ajili ya honey moon zipo nyingi sana ila kwa upande wangu mimi naipendelea zaidi Ngurdoto Mountain Lodge kwanza kabisa kutokana na mandhari yake na ubora wa huduma wanazotoa
We kijana umenifanya nitamani sana kwenda kula raha ngur....maana dah pametulia sana kule