Arusha ni njema (nimekulaje nyama!!??)! Kila atakae na aje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha ni njema (nimekulaje nyama!!??)! Kila atakae na aje!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ronn M, Sep 7, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Arusha ni njema jamani! I love the City. Kwanza nimesoma Ilboru A level, so I know it. Sasa nimekuja kwa programu fupi

  tuu ya wikiendi hii. Nimekulaje mishkaki! Hii barabara ya Nairobi (kambi ya fisi) chini kidogo ya technical kuna mzee

  anapika mishkaki ya ukweli. 300/= tuu! But imagine mtu anakula 20 chap chap. Sasa wadada na wamama wanakuja peke

  yao (sijui waume/mabwana zao wakwapi!) Yaani hii mishkaki nyama za kwa mromboo hazioni ndani.

  Na nimefurahi sana barabara zote za mitaani ambazo zilikuwa za vumbi sasa wameweka na wanaendelea kuweka lami.

  What a lovely town! I love it! Taarifa ziwafikie YNNAH, Erickb52, Filipo, PakaJimmy, daudi, fabinyo,
  Mungi, LiverpoolFC marejesho, Jackbauer na matwi kuwa nipo Arusha japo kwa siku mbili! Hebu nishaurini

  kahotel kazuri kakufanyia honeymoon na my sweetie lilito jeneneke! Halafu mnipe na nyingine kwa ajili ya mzee

  mzima Kaizer na mpenziwe gfsonwin wajikumbushie enzi zao! Pole Bishanga bukoba mna nini cha kujivunia zaidi

  ya senene!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Pita pale The African Tulip, ipo Serengeti road. Hutajuta. Picha hizi hapa

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aritoine, ahsante. Seriously nimeiweka maanani. Nitaifuatilia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ila cheki na mfuko wako. There are so many lodges here in town, uwezo wako tu. Ila kwa sababu wewe ni Ilborian mwenzangu, I recommend The African Tulip. I like this place bana..
   
 5. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dah, kumbe umemaliza pale! Big up kaka watu waliomaliza pale huwa wanapata neema sana ya kufika mbali. Mfuko inaweza isiwe shida sana maana si kitu cha kila siku! Mara moja moja kwa mapumziko
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Naam Ronn M!! Mambo vp Kamanda?? Uko cha wapi majira haya?? Je? Huduma ya lazima ya kimalazi umeshapata mpaka majira haya? Hebu nijuze hilo kama upo on line Kamanda!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nipo maeneo ya Nairobi road hapa karibu na Technical! Nimeshapata malazi mkuu, hapa ni nyumbani Dar tunakaa as a matter of necessity
   
 8. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ronn tunajazana mate bhana!
   
 9. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  a gud place so far.
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,073
  Likes Received: 10,430
  Trophy Points: 280
  Arusha ni kwere...
  Ukipita maeneo ya palace hotel unahisi kama upo Ulaya ndogo aisee....full uzuri, mandhari inavutia pamoja na garden ya ukweli..
   
 11. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nakuja na mie kuchukua cheti changu Ilboru jumatatu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe wa Ilboru wengi humu! Ila wewe umegraduate recent eenh
   
 13. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Catherine, siyo lengo langu, ila ndio ukweli mama!
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  jombaaa.....huko unakokwenda kula mshikaki.....kuna idadi kubwa sana ya ajali za mbwa barabarani....ukianza kubweka....usiseme sikukuonya......utafrahii....
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu Ronn M hapo ni Narok Pub! Mi sijawahi kupitwa na uzinduzi wa baa mpya hapa mjini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama mbwa ndo watamu namna ile, Baaaaaaaaaaaaaasi! Liwalo na Liwe! Ngoja jioni nikapige mingine ya idadi isiyohesabika fasta!
   
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona sifa zako za kipekee! Mie pombe sigusi kabisaa. Yaani sijawahi kuonja! Mtu wa fanta mimi Lol
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  halafu na fisi wanafugwa ule mtaa.....lakini hiyo ni spesho oda.....
   
 19. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio maana wakapaita kambi ya fisi? Halafu nasikia fisi watamu kama nyama ya kiuno! Wayajua hayo wewe?
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi kwa kuchanganya we acha tu, usiogope we nitafute ujue jinsi nnavyochanganya mavinywaji.. kiroba twende, konyagi twende, banana twende yaani pombe zote na mimi ni damdam
   
Loading...