Arusha-namanga highway | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha-namanga highway

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askofu, Apr 14, 2010.

 1. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Sony Pics 019.jpg
  Sony Pics 018.jpg

  Arusha - Namanga Highway...

  Tutafika kweli?? Au mpaka watu wafe kwenye ajali ndio tuunde tume?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nilidhani hii barabara ipo bomba kumbe ndo ilivyo duh noma tupu
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Utajengaje barabara inayounganisha nchi jirani na yenye umuhimu mkubwa bila mfrereji uliojengewa na ukijua mvua zinanyesha zitabomoa? Rushwa tu hapo
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tanzania zaidi ya uijuavyo tunatoavipaombele sehemu zisizo na mantiki!
   
 5. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Nadhani hii ni ile ya zamani hii inayojengwa sasa sio inaonekana inakwenda safi
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  inaendelea vizuri upande wa kenya, huku kwetu khaa, tunaitumia ki ubabe tu mpaka wengine tumeizoea.
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ndio hiyo hiyo! Mi niliona kama wanaifanyia extension tu
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  its been long hii barabara jamani
  haiishi
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  labda tunakoelekea kwenye uchaguzi itaisha:rolleyez:
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  sijui mamii ngoja tuone.....

  kipindi cha kiangazi hapo hilo vumbi lake jameni aaaah
   
 11. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Danganya toto, itafika 0ctober barabara vumbi tupu!! Wanasubiri doner funds
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  donor fund Askofu mpaka lini? hazijatoshea tu au ndo wanapewa zinaliwa na wajanja kama kawaida!!!
   
 13. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Funds zilishatolewa, Kenya kwao wameitumia vizuri hadi utafurahi. Hapa kwetu ndo hivyo tena, Waziri wa miundombinu ndo huyo ....hata humsikii akiongea. Mpaka Pinda akaingilia kati kuwakemea TANROADS Arusha ndo wakafanya fanya hata hiyo extension..... Huyo Kawambwa sijamsikia akisema lolote kuhusu hii bara bara. Wajenzi wenyewe wanaazima vifaa kwa kampuni inayojenga Kenya! Na bado tunadhani Arusha ndo makao makuu ya EAC ...ukienda Arusha utashangaa...hamna barabara! Sijui kama Muungwana anajua hivi vitu?
   
 14. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Fundz zilitolewa ndio, lkn zimekuwa diverted kwenye mfuko wa CCM kwa ajili ya kampaign, sasa hata kama huyo JK anajua hawezi fanya ki2 wakati yy ndo kawaambia wakusanye pesa za kampeni. Kama walipewa kutoka UK bac wanasubiri siku zipite pite waombe US au China
   
Loading...