Arusha - Nalaani vikali kauli zilizotolewa na viongozi wa CUF

s-t-u-p-i-d, kama ban wacha ije. Ukiendelea kuisakama Zbar n..t...a...k...u....t....u....k...a.....n...a..... Mungu atakuua kwa dhambi yako ya ubaguzi iliyojengeka moyoni mwako. UMEONA WAPI WA-ZBAR WANAKAA TU VIBARAZANI. Hv hawana kazi ya kufanya wao? Lakn kwa nini watu na elimu zenu muendelee kutoa kauli zenu za dharau kwa baadhi ya watu wanaotoka maeneo.
Mkuu mbona hii imekutachi sana? mbona ya Profesa uchara aliyewadharau vijana wa Arusha haijakuuma kiasi hichi? au ndo kusema mkuki kwa Nguruwe? Arusha haina mfanano hata kidogo na Temeke wala Zenji huo ndo ukweli kamili, Arusha watu wanapima hoja, hawaendi tu bora liende kama huko kwenu. kwa hiyo msiwafananishe kabisa na watu wa pande za huko kwenu. na kama mmetumwa mjue kuwa kazi yenu ni ngumu sana.

Tafakarini
 
sio siri arusha ni ngome ya cdm kwa hiyo kupigwa kwa wafuasi wa cuf haina ubishi waliotekeleza mpango huo ni cdm ingawa kukiri itakuwa vigumu mimi natoa wito kwa wafuasi wa cuf na wao wajiandae kulipiza kisasi waache kulalamika
 
Back
Top Bottom