ARUSHA: Nahitaji Sehemu ya Kumpeleka Mtoto Tuition (Mianzini)

Ntu

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,000
649
Heshima kwenu wakuu;

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninamtoto wa darasa la nne nahitaji kumpeleka tuition maeneo ya around na Mianzini kipindi hichi cha likizo.

Mwenye uelewa wa sehemu nzuri natanguliza shukrani anielekeze.
 
Back
Top Bottom