Wakuu panatafutwa vijana watano wakike wawili na wakiume wa tatu kwa kazi tajwa apo juu unaweza kuni Cheki Whatsapp kipaumbele uwe Arusha Mawasiliano 0716315462 Whatsapp Nicheki
Kazi ndani ya vitengo vya hotel, nyingi zinahitaji taaluma mahususi, mfanoMkuu nikisema hotel management utapangiwa miongoni mwa hizo kazi ndani ya career nzima
Asante kumwelimisha! Aanze upya! Asijepata mtu anafika kule anapangiwa reception hana customer care au apelekwa jikoni hata kukoroga uji hajuiKazi ndani ya vitengo vya hotel, nyingi zinahitaji taaluma mahususi, mfano
1.receptionist
2.cashier
3.It
4.Managers wa vitengo
5.supervisors wa vitengo
6.Bar mans
7.Waiters
8.Chefs
9.cookers
10.Host
11.Room attendant
12.Dish washers
Hizo ni baadhi tuu ya vitengo vichache vinavyohitaji taaluma yake ili uweze kumudu kazi husika, vipo vingine vingi ambavyo sijaviorodhesha hapo juu,
sasa hauwezi wewe kutangaza nafasi ya kazi ndani ya hotel pasina kutaja kitengo cha hiyo nafasi uliyo itangaza, kwa kimbilio la kusema eti hotel management,
Ndio nikakuambia ebu zungumza unahitaji mtu wa kitengo gani!?