Arusha na wizi wa nyaya za umeme!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
kwa wale walioko maeneo ya arusha wanaweza kuwa wamesikia kuna ongezeko la wizi wa nyaya za umeme.wizi huu umetokea maeneo ya tengeru zaidi ya mara mbili na hivyo kupelekea tanesko kufanya doria hadi usiku wa manane.
kwa mujibu wa Tanesco kumekuwa na uhujumu wa miundo mbinu yao maeneo mbalimbali arusha na hivyo kupelekea umeme kukatika bila kufuata ratiba ya mgao.wakuu mlioko arusha kama kuna mtu anfahamu mtandao huu wa wezi wa nyaya za umeme atujuze ili ushughulikiwe.ni aibu kuona mtu mmoja anakosesha umeme mkoa mzima!!
 
huo mgao wa umeme ndio unaozalisha haya maana wanazitamani lakini wengi wao wanaogopa umeme sasa ikiwa kuna mgao kwanza giza linawasitiri pili wanakuwa na uhuru wa kufanya watakayo maana wanajua ratiba nzima na hata wanainchi wenyewe washazoea giza hata umeme ukikatwa wanajua ni mgao tu hata hawaangaiki kupiga simu kwa imergency service yao.
 
kwa wale walioko maeneo ya arusha wanaweza kuwa wamesikia kuna ongezeko la wizi wa nyaya za umeme.wizi huu umetokea maeneo ya tengeru zaidi ya mara mbili na hivyo kupelekea tanesko kufanya doria hadi usiku wa manane.
kwa mujibu wa Tanesco kumekuwa na uhujumu wa miundo mbinu yao maeneo mbalimbali arusha na hivyo kupelekea umeme kukatika bila kufuata ratiba ya mgao.wakuu mlioko arusha kama kuna mtu anfahamu mtandao huu wa wezi wa nyaya za umeme atujuze ili ushughulikiwe.ni aibu kuona mtu mmoja anakosesha umeme mkoa mzima!!

weweee.... bora waibe hizo nyaya kuliko wabaki kuziangalia wakati wanakufa na njaa
 
kwa wale walioko maeneo ya arusha wanaweza kuwa wamesikia kuna ongezeko la wizi wa nyaya za umeme.wizi huu umetokea maeneo ya tengeru zaidi ya mara mbili na hivyo kupelekea tanesko kufanya doria hadi usiku wa manane.
kwa mujibu wa Tanesco kumekuwa na uhujumu wa miundo mbinu yao maeneo mbalimbali arusha na hivyo kupelekea umeme kukatika bila kufuata ratiba ya mgao.wakuu mlioko arusha kama kuna mtu anfahamu mtandao huu wa wezi wa nyaya za umeme atujuze ili ushughulikiwe.ni aibu kuona mtu mmoja anakosesha umeme mkoa mzima!!

Mkuu ni kweli huo wizi wa nyaya za tanesco upo na kwa taarifa yako haujaanza mgao ulipoanza bali ulikuwepo tangu huko nyuma na wezi wanajulikana kwa sababu wanunuzi wa hizo nyaya ni kiwanda cha masufuria cha Kenya, hivyo nyaya hizo huibiwa na kuvushwa kwenda Kenya kutengenezea masufuria. Huo ulinzi unaofanywa ni danganya toto kwa wananchi ili ionekane serikali inawajibika.

Kama kweli vyombo vya dola vipo makini na hiyo doria yao hao wezi wangeshakamatwa kitambo na wala sio leo mana kitu kama nyaya za umeme sio bidhaa inayoweza kuuzwa kwa mtu yeyote tu kama yalivo mafuta au vitu vingine, hivo ni bidhaa ambayo ina wanunuzi rasmi na wanajulikana na ni chain ndefu inahusika wala hao wezi sio vibaka tu kama unavodhani.

Kwa kuongezea tu ni kwamba nyaya hizi zinazoibiwa si tengeru tu bali ni between tengeru na usa river hapo ndo wizi huu sugu umejikita.
 
Njaa mbaya sana wakuu. Wangekuwa na shibe sidhani kama wangefanya matendo kama haya.
 
Umeme hakuna,maisha magumu,pesa hazikai,vyakula na vinevyo bei juu,.Wanauza wapate pesa ya kunua mafuta za taa kuliko kuendlea ka giza.
 
Back
Top Bottom