Arusha na watu wake wote hovyo

Status
Not open for further replies.

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,913
1,208
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!
 
Sema baadhi,sio wote wanaoishi huko nh wa hovyo kama unavyotaka kuiaminsha dunia. Kuna watu wengi mbona wapo poa tu?
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Ulipokuja Ar wamekusukutua nini?. Mbona unangaka namna hiyo?.
 
WE wa wapi ?Taarabu jukwaani huku yaani unahitimisha thread yako mwenyewe sisi tuchangie nn ss A town mi mwenyewe siikubali kama inavyobebewa bango na wala sio watu wa huko kwamba wanajiona wako juu hapana ndio watz wanavyoipa ujiko tu ila kwa kweli sioni kitu hapa
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Ni mji gani hauna hizo sifa ulizozitaja? Kuweza kusema Arusha na watu wake WOTE HOVYO inadhihirisha jinsi shule yako ilivyo ndogo. Kila mahali kun watu wastaarabu na tena wako ambao si wastaarabu.
 
mccm akishindwa kulawiti utamjua tu, na wala usilete siasa za ukanda ama kama unataka vibwenzo useme tuanzie kusutana kuanzia kina Dovutwa kucheza bao kutwa huku mkitegemea mikoa mingine iwalishe.
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

....vipi ulikosa soko?
 
Dah aisee nimekaa Arusha ila kyna vitu vingi nimeviona vya ajabu sana! Mji maeneo mengi ni mchafu sehemu kubwa, nimeshangaa unavyopigiwa chapuo, sijaukubali kabisa, mitaa mingi ipo kiswazi mbaya, Unga Limited, Sombetini, Ngusero, Morombo, Ngarunero-eti wanaita kwa wajanja, Kisongo balaa yaani maeneo mengi yapo hovyo sana! Mji una vumbi baya sijawahi ona tangu nzaliwe bali Arusha! ! Machalii wake wengi naona ni wastaraabu labda kwakuwa sijaingia anga zao, kwa sasa narudi zangu Mtwara ila sidhani kama nitarudi Arusha! Sijapapenda kwakweli hata kama nikilipwa mshahara wa haja
 
Hujaeleweka hata kidogo. Arusha ni mchanganyiko wa Watanzania na watu wa mataifa mengine; sijui umelenga wote?
 
Acha kutoa Povu, Inawezekana umetembelea viwanja vya uswahilini. Pata mtu anayejua viwanja vya kimataifa chalii wangu!
 
:frusty:.....umeanzisha vita na arachuga JF wing wewe....wapi Preta, PakaJimmy Mzee wa Rula @Blakiwomani na wengine wooote njooni huku muoneee.....dharau kama hizi hazikubaliki.....mji wa kitali!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah aisee nimekaa Arusha ila kyna vitu vingi nimeviona vya ajabu sana! Mji maeneo mengi ni mchafu sehemu kubwa, nimeshangaa unavyopigiwa chapuo, sijaukubali kabisa, mitaa mingi ipo kiswazi mbaya, Unga Limited, Sombetini, Ngusero, Morombo, Ngarunero-eti wanaita kwa wajanja, Kisongo balaa yaani maeneo mengi yapo hovyo sana! Mji una vumbi baya sijawahi ona tangu nzaliwe bali Arusha! ! Machalii wake wengi naona ni wastaraabu labda kwakuwa sijaingia anga zao, kwa sasa narudi zangu Mtwara ila sidhani kama nitarudi Arusha! Sijapapenda kwakweli hata kama nikilipwa mshahara wa haja

kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba ntwara ni zaid ya arusha co
 
Arusha is so lovely. Decent smart people who know how to make money and have fun. Yaani hata sijui nisemeje. Nasubiri tu ku relocate Arusha.

As for you mtoa mada, nikupe pole tu.
 
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!
we utakukua ulienda na kiswahili chako cha daa ukafikiri watakuwaza....huwa wanachukulia kuwa watu wa dar ni kasuku si wakiume si wakike wote wanasutana na hawana kitu, ujuaji kibao, wabinafsi!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom