Arusha na Moshi wawakumbuka madiwani wao walionunuliwa

Waziri2025

Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
42
Points
125

Waziri2025

Member
Joined Sep 2, 2019
42 125
Zipo taarifa za wazi kwamba wananchi kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wamesusia kujiandikisha ili kupiga kura uchaguzi wa serikali za Mitaa baada ya kukuchoshwa na tabia ya kununua madiwani wa upinxani.

Baadhi ya wananchi hao wamechukizwa na hatua hiyo ya baadhi ya madiwani waliowachagua kwa kukaa juani wakiwa kwenye mistari mirefu juani , kuwageuka na kuhamia chama tawala.

Wamedai hawapo tayari kujitokeza kujiandikisha kutokana na tabia hiyo iliyojitokeza hivi karibuni kwa viongozi waliochaguliwa kununuliwa na kuhamia chama tawala.

Hadi Leo Siku ya tatu tangu kuzonduliwa kwa zoezi la kujiandikisha,Mkoa wa Arusha umeandikisha kwa asilimia 8 tu huku Mkoa wa Kilimanjaro kujiandikisha kwa asilimia saba.
IMG-20191011-WA0000.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,380,065
Members 525,684
Posts 33,764,722
Top