kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,802
- 6,468
Hahahambona hawawafuati hao wanaohama
Ccm na simbilisi ni mtu na binamu yake
Hawaoni mita tano mbele
Hahahambona hawawafuati hao wanaohama
Waliotanguliza matumbo mbele wengi wataondoka kwa kisingizio hicho,wapinzani wa kweli wenyenia ya kweli ya kuikosoa serekali ifanye vizuri wataendelea kuwepo mahali pao hata Kama watabaki 2 wataendelea kupiga mzigo mpaka serekali itakapo nyooka.Huu ni muendelezo wa viongozi wa CHADEMA kuachana na Chama hicho na kuamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kupambana na ufisadi, kusimamia maendeleo na Rasilimali za nchi huku CHADEMA ikionekana kukinzana na kila jambo jema kwa maslahi ya nchi.
Waliotanguliza matumbo mbele wengi wataondoka kwa kisingizio hicho,wapinzani wa kweli wenyenia ya kweli ya kuikosoa serekali ifanye vizuri wataendelea kuwepo mahali pao hata Kama watabaki 2 wataendelea kupiga mzigo mpaka serekali itakapo nyooka.
Mkuu achen ushabiki usiokua na Tija hali halisi inajieleza.......Chezea kufika bei weee.. na hali ilivyo tight tena, hata kwa buku tano mtu anahama tu wakiongozwa na baba lao Propesa pumba.
Only fools like you can be comfortable and celebrate
Mwenyewe umenuna na kuuvuta mdomo kwa mbele,hongera kwa kutukana kizungu.Only fools like you can be comfortable and celebrate
Mmezowea kuwashika mazombie na kuwaimbisha wimbo wa mabadiliko wakati nyie mnajipigia hela chafu....Ruzuku za chama zinaishia kumlipa mwenyekiti eti mwenyekiti kakikopesha chama.Only fools like you can be comfortable and celebrate
Eti wanadai wote hao wanahongwa!! cdm chaliiiiiiiiiiiii kwishaaaaaaaaa mbendembendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa FFU kata ya Muriet jijini ndugu Anacletus Edward Arusha ameamua kuachia uwenyekiti na kujivua uanachama wa CHADEMA na kuhamia CCM.
Huu ni muendelezo wa viongozi wa CHADEMA kuachana na Chama hicho na kuamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kupambana na ufisadi, kusimamia maendeleo na Rasilimali za nchi huku CHADEMA ikionekana kukinzana na kila jambo jema kwa maslahi ya nchi.
Tetesi kutoka Arusha zinaeleza kuwa bado kunatarajiwa wimbi kubwa la viongozi wa CHADEMA kuachia ngazi.
Si watakaoshinda nao watanunuliwa? Tena mmesema wananunuliwa kwa buku tano tu? Jamani acheni kujifanya wajinga. Kiini cha tatizo kwenye chama chenu sasa kinajulikana kwa kila mwenye akili. Tatueni kiini hicho cha tatizo.Aisee ccm inapoteza hela zake bure maana wananchi tutainyoosha ccm kwenye uchaguzi