Arusha: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Ashambuliwa, Polisi Wapiga chenga Sasa ni jino kwa jino

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mwenyekiti wa BARAZA LA WAZEE Wilaya ya Arusha Mjini Mh Emmanuel Zacharia (Baba Boni) na watu wanne waliokuwa kwenye gari ndogo aina ya Suzuki wameshambuliwa vibaya na Green Guard.

Watu wawili wameumizwa vibaya katika shambulio hilo.

Mwenyekiti wa Wazee Baba Boni na watu hao walikuwa wanaelekea kwenye Mkutano wa CHADEMA unaofanyika Mtaa Msasani Eneo la Ebenezer

Mwakilishi wa

Mwanahabari Huru
ARUSHA
 
Kwa hiyo ccm inataka kushinda kwa nguvu?Nadhani wamesahau historia kua hata ukoloni ulishindwana.Vile vile hawaelewi hakuna marefu yasiokua na ncha.
 
Poleni sana lakini IPO siku CCM mtajua umuhimu wa siasa safi pale Simba akichukua Kombe kutoka kwa Yanga.
 
Wameshambuliwaje wakiwa kwenye suzuki?
Acheni kusaka kiki...subirini kupigwa kipigo cha mbwa mwizi Arusha
 
Bahati mbaya kuna Uzi uliletwa humu na mdau wa CCM kutoka Arusha akilalamika walipigwa na vijana wa Chadema. Chakushangaza badala ya kutafuta maneno ya kuwafariji na kuwasihi wasilipize kisasi kuna baadhi ya wafusi wa Chadema walishangilia kipigo kile cha kudhuru mwili walicho pewa vijana hao wa CCM.

Kwa ushauli haya mambo yasipo tatuliwa kwa busara hasa Jeshi la polisi Arusha vijana wata pasuana kwa visasi na inaweza ikasababisha vifo.
Polisi waingilie kati na kuwataka hao viongozi wa hivyo vyama kuwe na siasa za ki staarabu.Waache siasa za mwaka 47 za kibabe watauana kipuuzi na vyama wataviacha. Hizo nguvu wapiganie kuboresha maisha yao.
 
Ninalaani sana hizi fujo na UHUNI unaofanywa na Wahuni waliojificha nyuma ya vyama vya siasa.
Uvunjifu wa sheria za nchi hautavumilika. Vyombo vya ULINZI na usalama vichukue hatua haraka sana.
 
Mwenyekiti wa BARAZA LA WAZEE Wilaya ya Arusha Mjini Mh Emmanuel Zacharia (Baba Boni) na watu wanne waliokuwa kwenye gari ndogo aina ya Suzuki wameshambuliwa vibaya na Green Guard.

Watu wawili wameumizwa vibaya katika shambulio hilo.

Mwenyekiti wa Wazee Baba Boni na watu hao walikuwa wanaelekea kwenye Mkutano wa CHADEMA unaofanyika Mtaa Msasani Eneo la Ebenezer

Mwakilishi wa

Mwanahabari Huru
ARUSHA
Bila dereva kwenda polisi kuhojiwa polisi haiwezi ikawatambua wahusika.
 
Mwenyekiti wa BARAZA LA WAZEE Wilaya ya Arusha Mjini Mh Emmanuel Zacharia (Baba Boni) na watu wanne waliokuwa kwenye gari ndogo aina ya Suzuki wameshambuliwa vibaya na Green Guard.

Watu wawili wameumizwa vibaya katika shambulio hilo.

Mwenyekiti wa Wazee Baba Boni na watu hao walikuwa wanaelekea kwenye Mkutano wa CHADEMA unaofanyika Mtaa Msasani Eneo la Ebenezer

Mwakilishi wa

Mwanahabari Huru
ARUSHA
Haitoshi kuitoa chadema Arusha, zaidi wanaambia wananchi ccm sio chama salama kwa Tanzania yetu pendwa
 
Back
Top Bottom