Arusha.mvua yanyesha mara 1 kwa miezi kadhaa!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Leo arusha imepata baraka za mwenyenzi mungu kwa kunyesha mvua ambayo haijanyesha zaidi ya miezi kadhaa vizima vya maji vilikuwa vimeshaanza kukauka maji kutokana na ukosefu wa mvua,
 
mvua yenyewe imenyesha kidogo sana mkuu,...anyway_something is better than nothing
 
Back
Top Bottom