Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa. Hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.

Kwa muda wote wafuasi wa CHADEMA ndio waliokuwa wamejaa ila sasa wafuasi wa CCM wameanza kupita hapa maeneo ya clock tower.

Anyway watu bado tunasubiri kwa hamu kujua nini kitaendelea.

Stay tuned for more information.
 
niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa.hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.kwa mda wote wafuasi wa chadema ndio waliokuwa wamejaa ila sasa wafuasi wa CCm wamenza kupita hapa maeneo ya clock tower.anyway watu bado tunasubiri kwa hamu kujua nini kitaendelea.stay tuned for more information.

Nahisi kuchanganyikiwa.
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye nyekundu.
 
Nawahabarisha wana JF kuwa Arusha kazi ipo! Mtakumbuka Mkurugenzi aliyekuwepo aliondoshwa kwa sababu za uchaguzi huu wa 2010. Akaletwa aliyepo sasa na kazi yake moja ni kuhakikisha kuwa Arusha inabaki CCM anyhow.

EL yupo Manipsaa ya Arusha. Kauli yake ni heri jimbo ya Monduli lipotee kuliko Arusha. Sikieni Arrogance ya viongozi wa TZ na kitendo cha kuwadharau watanzania.
 
Taarifa nilizonazo mbona matokeo yamekwisha kutangazwa?

Sasa atafanya nini? Asije akawa na tamaa ya mzee fisi na akirudi Monduli akakuta Chadema imemliza kama Magufuli tunavyosikia amelizwa kule Chato.............
 
Hii ndio democrasia ya CCM
Kwani matokeo si yashabadnikwa issue ni kujumlishwa tuu au sio?
 
Na mimi nimesikia LOWASANA YUKO ARUSHA, HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE.
 
Taarifa nilizonazo mbona matokeo yamekwisha kutangazwa?

Sasa atafanya nini? Asije akawa na tamaa ya mzee fisi na akirudi Monduli akakuta Chadema imemliza kama Magufuli tunavyosikia amelizwa kule Chato.............

Kweli kiongozi? manake kama dakika arobaini na tano zilizopita ilikua bado, BBC wakaripot kua kuna hali ya watu kutokua na imani na nini kinachoendelea hapo!!
 
Taarifa nilizonazo mbona matokeo yamekwisha kutangazwa?

Sasa atafanya nini? Asije akawa na tamaa ya mzee fisi na akirudi Monduli akakuta Chadema imemliza kama Magufuli tunavyosikia amelizwa kule Chato.............

Anataka kote kote ataishia kukosa vyote
 
Lowasa na viongozi wengine waandamizi wa ccm ndio wachafuzi wa amani ya watanzania. Leo hii tume imeshindwa kutoa maokeo ambayo yametokana na turn up ndogo ya wapiga kura, je wangekuwa zaidi ya asilimia themanini (80%) hali ingekuwaje?
 
Kura si zimeshapigwa?
mimi sijaelewa vizuri.
Hii kauli kama kaitoa inatosha kuingiza Arusha kwenye Mgogoro.
Ninaamini hii sio kauli sio ya kutoa baada ya uchaguzi, ingetoka kabla ya Uchaguzi ningemuelewa.
Lowasa we are coming for you!! Kule bungeni hawapo kina Malisela tena, sasa hivi ni kina mnyika, Mdee, Selasini, Mpendazoe, Sugu a.k.a Mr.II, Rev Msigwa, Mbowe, Zitto,Thomas Nyimbo,Ndesamburo,Lema, Kafulila ......etc
 
Lowassa tutampigia kambi monduli mpaka tumfyatue. asidhani yeye ndiye kisiki. huu ni moto unaochoma bila kujali status ya mtu. wakati wa kununua kura umekwisha. asiturejeshe kwenye mambo ya zamani.
 
anaumwa mdondo huyo na kampeni zao za chuki dhidi ya Wachagga sasa anasema ati hawezi kubali kushindwa?
 
jAMANI, kuna hali ya hatari inakaribia kutokea huku Arusha...
Matokeo bado yameshikiliwa, hayatangazwi, na umati wa mji wa Arusha umekaa nje unasubiri kwa jazba kali mno.
Lakini kuna mtu kaniambia possibility ya ajabu sana, kuwa wameshindwa kuchakachua kura za Lema, sasa wanataka kumchakachua yeye(Lema) binafsi kwa KUMPA FEDHA KIASI ATAKACHOTAKA YEYE, ili aachie ngazi na kutangaza kuwa ameshindwa!!
Jamani si mnaona damu hapo inatafutwa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom