ARUSHA: Miaka 5 ijayo nahisi watakuwa na Lugha yao!

Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
Yaaani Kumsema mwanaume mwenzako kula ninakuwa na wasiwasi nawewe
 
Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
Kama kwako ni ushamba wengine ni ujanja

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
chalii unaleta usolo mbona, wasafi imetokea piwa sasa, acha hizo njaro
 
Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
Usiwaze sana bablai hiyo haikatoksi kwa wakuu afu yanini kubonga wakati chufuga inabonga yenyewe...
 
Back
Top Bottom