Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu

Arusha: Mgombea wa Chadema Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa vibaya na green guard.Diwani ana hali mbaya amezirai na msaidizi wake amepigwa visu hali yake ni mbaya sana Polisi wamedhibitisha

N:B Majina ya Green Guard walifanya kitendo hichi ni Iddy Mkulu/Moja/Ringooo wa Daraja Mbili na Jumanne Mjusi
Taarifa zinazidi kusema kuwa Mpaka sasa hivi wanatembea na Gari aina ya Noah

View attachment 833572

View attachment 833547View attachment 833608View attachment 833609
Huyu mbwa kafa ee, Safi
 
Amezikwa leo saa 7 mchana maeneo ya ngaramtoni nje kidogo ya jiji la Arusha kama unaelekea Nairobi. Ametumika sana na ccm kufanya siasa chafu na za kikatili, nashukuru amezikwa kama mbwa.


Hapana Mkuu kazi kwa leo Makaburi ya Njiro ajabu Mkuu wa mkoa,Wilaya na wazito wote wa CCM walikuwepo
 
Back
Top Bottom