Arusha: Mgombea udiwani wa CHADEMA aliyepigwa arejea kwa kishindo

Hajakoma bado sasa hivi ndo watambaka kabisa

Laana ya wizi wa kura 2012, kila kukicha migogoro tu mara uamusho, ajali zisizo na sababu, mauaji ya raia waso na hatia, mabomu, uchomaji makanisa Znz na Mbagala, Dawa feki,Ufisadi serikalini nk. Utawala wa kulazima ndo faida yake hiyo ndo mkae mkijua dhuluma hailipi.Mbaka 2015 twaweza kushuhudika maafa zaidi kutoka na chuki mlizipanda.
 
Back
Top Bottom