Arusha: Mfanyakazi wa ndani amuua bosi wake na kutoweka

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
141
500
Jeshi la Polisi Mkoani hapa linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa) akituhumiwa kumuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) Mkazi wa Njiro block D jijini hapa baada ya kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali.

Tukio hilo ni mwendelezo wa tukio jingine kama Hilo lilitokea siku chache zilizopita baada ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy (40)kudaiwa kuuawa na mtoto wake mzazi eneo la Njiro jijinibhapa.

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Justine Masejo alithibitisha kutokea tukio hilo jana na kueleza kuwa wanamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye alikuwa anaishi na marehemu huyo na alitoweka baada ya tukio hilo.

Kamanda Masejo alisema mwili wa mwanamke huyo aliyekuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani kwenye nyumba yake eneo hilo la block D amekutwa amepigwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji la uso huku akibainisha kuwa Jeshi la Polisi linamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye anadaiwa kutoroka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu alikuwa anaishi na mtumishi wa kazi za ndani ambaye alianza kazi wiki moja iliyopita ila alitoweka ghafla mara baada ya tukio hilo" alisema

Alifafanua kuwa mfanyakazi huyo alitoweka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

Kamanda alisema Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wenye nyumba kuwa makini na wafanyakazi wa ndani wanaowapa kazi kwa kujua historia zao.

Mmoja wa majirani wa nyumba hiyo, Tedy Minja alisema mtuhumiwa huyo alikuwa hajulikani sana mtaani kwani alianza kazi muda si mrefu na alikuwa akishinda muda mrefu akiwa ndani bila kutoka.

Kamanda Masejo aliwasihi viongozi wa dini kuendelea kutoa maombi Kwa Jamii ili kujitenga na matendo maovu.

Ends........

download%20(3).jpg
 
Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
12,490
2,000

Kamanda Masejo aliwasihi viongozi wa dini kuendelea kutoa maombi Kwa Jamii ili kujitenga na matendo maovu .

Ends........

View attachment 2062656
Arusha kuna nini huko? Mauaji yamezidi sasa
 
jembejembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
723
1,000
Jeshi la Polisi Mkoani hapa linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa) akituhumiwa kumuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) Mkazi wa Njiro block D jijini hapa baada ya kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali.

Tukio hilo ni mwendelezo wa tukio jingine kama Hilo lilitokea siku chache zilizopita baada ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy (40)kudaiwa kuuawa na mtoto wake mzazi eneo la Njiro jijini hapa na mwili wake kutumbukizwa kwenye chembe la.majintaka.

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Justine Masejo alithibitisha kutokea tukio hilo jana na kueleza kuwa wanamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye alikuwa anaishi na marehemu huyo na alitoweka baada ya tukio hilo.

Kamanda Masejo alisema mwili wa mwanamke huyo aliyekuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani kwenye nyumba yake eneo hilo la block D amekutwa amepigwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji la uso huku akibainisha kuwa Jeshi la Polisi linamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye anadaiwa kutoroka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu alikuwa anaishi na mtumishi wa kazi za ndani ambaye alianza kazi wiki moja iliyopita ila alitoweka ghafla mara baada ya tukio hilo" alisema

Alifafanua kuwa mfanyakazi huyo alitoweka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

Kamanda alisema Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wenye nyumba kuwa makini na wafanyakazi wa ndani wanaowapa kazi kwa kujua historia zao.

Mmoja wa majirani wa nyumba hiyo, Tedy Minja alisema mtuhumiwa huyo alikuwa hajulikani sana mtaani kwani alianza kazi muda si mrefu na alikuwa akishinda muda mrefu akiwa ndani bila kutoka.

Kamanda Masejo aliwasihi viongozi wa dini kuendelea kutoa maombi Kwa Jamii ili kujitenga na matendo maovu.

Ends........

download%20(3).jpg
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,486
2,000
Nakumbuka ule wimbo wa Tancut Almasi: "Kumbe nimemkaribisha nyoka"
Unaleta mdada toka sehemu halafu unadanganya watu "House girl". Dunia imebadilika hii, tuwe macho!!
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
5,571
2,000
Jeshi la Polisi Mkoani hapa linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa) akituhumiwa kumuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) Mkazi wa Njiro block D jijini hapa baada ya kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali.

Tukio hilo ni mwendelezo wa tukio jingine kama Hilo lilitokea siku chache zilizopita baada ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy (40)kudaiwa kuuawa na mtoto wake mzazi eneo la Njiro jijini hapa na mwili wake kutumbukizwa kwenye chembe la.majintaka.

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Justine Masejo alithibitisha kutokea tukio hilo jana na kueleza kuwa wanamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye alikuwa anaishi na marehemu huyo na alitoweka baada ya tukio hilo.

Kamanda Masejo alisema mwili wa mwanamke huyo aliyekuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani kwenye nyumba yake eneo hilo la block D amekutwa amepigwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji la uso huku akibainisha kuwa Jeshi la Polisi linamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye anadaiwa kutoroka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu alikuwa anaishi na mtumishi wa kazi za ndani ambaye alianza kazi wiki moja iliyopita ila alitoweka ghafla mara baada ya tukio hilo" alisema

Alifafanua kuwa mfanyakazi huyo alitoweka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.

Kamanda alisema Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wenye nyumba kuwa makini na wafanyakazi wa ndani wanaowapa kazi kwa kujua historia zao.

Mmoja wa majirani wa nyumba hiyo, Tedy Minja alisema mtuhumiwa huyo alikuwa hajulikani sana mtaani kwani alianza kazi muda si mrefu na alikuwa akishinda muda mrefu akiwa ndani bila kutoka.

Kamanda Masejo aliwasihi viongozi wa dini kuendelea kutoa maombi Kwa Jamii ili kujitenga na matendo maovu.

Ends........

View attachment 2062657
Unataka kila siku ww ndio uwe unaleta matukio ya Vifo Arusha?,kulikuwa na sababu gani ya ww kuweka uzi lako juu ya uzi
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
20,185
2,000
Muuaji anahifadhiwa jina? Au hawana hakika.

Mpaka sasa huyo ni mtuhumiwa tu ndio maana wanaficha taarifa kamili unless kuwe na cctv hapo kwake na kurekodi tukio

Hatuwezi kujua na wao hawajui iwapo walikuwa wawili tu ama kulikuwa na kundi au mtu mwingine alishiriki kuuwa

Hata yule mama mfanyabiashara Polisi walisema inadaiwa kauwawa na mwanae
Kwa hiyo mpaka akamatwe na kuhojiwa ndio ukweli utajulikana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom