Arusha: Mfanyabiashara adai kupigwa na kubambikiwa bangi na Polisi

Yule hamnza kama alikuwa sahihi kuwaacha abiria yeye anataka askari tu hii kazi ina laana.
 
Nihatari sana pale wahusika waliopewa majukumu kikatba kulinda usalama wa mali na raia wa tanzania ndani ya nchi wanapojigeuza na kuwa vibaka na majambazi .Ni aibu na fedhea sana kwa sisi watanzania
 
MFANYABIASHARA mtanzania na Mkazi wa Marekani na Arumeru Mkoani hapa,Ombeni Palangyo(36)amedai kutendewa unyama na askari polisi jiji la Arusha,kupigwa na kubambikiwa misokoto ya bangi wakitishia kumpa kesi ya uhujumu uchumi iwapo hata wapatia pesa .
Haiingii akilini mfanyabiashara potential kuwa investor toka Marekani aje kuhangaika na misokoto Arumeru!!!
 
Back
Top Bottom