ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha asaini Mkataba wa Ujenzi wa Hospitali ya wilaya chini ya Baraza la Madiwani wa CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
chadema1.jpg

Hongera Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji Arusha linaloongozwa na Madiwani wa CHADEMA.
Hongera Meya Bora Tanzania Mh Kalisti Lazaro

Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha - Meya Bora Tanzania akitia saini Mkataba wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya itakayojengwa Kata ya Engutoto - Njiro eneo la Container.
Kukamilika kwa mradi huu kutapunguza msongamano wa wagonjwa katika vituo vya Afya vya Levolosi & Kaloleni, Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru na kusogeza huduma za Afya kwa Jamii.

Mstahiki Meya ninaomba wakati mnaweka jiwe la Msingi mumualike Mkuu wa Mkoa Bwana Mrisho kama Mgeni Rasmi maana anapendaga "show" kweli.

chadema2.jpg
chadema3.jpg

------------------------
CCM WAKIJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE WAKIAMASISHANA UJINGA WAKUFANYA JUMAMOSI MESSAGE YAO IMESHIKWA UPUMBAVU NA UTOTO WA CCM ARUSHA HUU HAPA

CCM muhimu sana pia tuwe na sare zetu jamani, naomba tuwambie wana kikundi wako kuwa siku ya juma mosi 23.12.17 kutakuwa na uzindizi wa hospitali ya wilaya inayojengwa eneo la kontena njiro ufike na watu kamili asubuhi kumsikiliza mkuu wa mkoa tafadhali mfike bila kukosa na kwa wakati Karibu sana. Afisa maendeleo kata ya Lemara
 
View attachment 656074

Hongera Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji Arusha linaloongozwa na Madiwani wa CHADEMA.
Hongera Meya Bora Tanzania Mh Kalisti Lazaro

Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha - Meya Bora Tanzania akitia saini Mkataba wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya itakayojengwa Kata ya Engutoto - Njiro eneo la Container.
Kukamilika kwa mradi huu kutapunguza msongamano wa wagonjwa katika vituo vya Afya vya Levolosi & Kaloleni, Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru na kusogeza huduma za Afya kwa Jamii.

Mstahiki Meya ninaomba wakati mnaweka jiwe la Msingi mumualike Mkuu wa Mkoa Bwana Mrisho kama Mgeni Rasmi maana anapendaga "show" kweli.

View attachment 656075 View attachment 656076
Mbona kule facebook Mrisho Gambo anajitapa kuwa ni juhudi zake kufanikisha ujenzi wa hospitali hii? Ebu Chadema tupeni taarifa sahihi na zenye uhakika tafadhali. Tunaomba taarifa ya ujenzi wa ile hospitali ya mama na mtoto kama ilivyoahidiwa na Mbunge Lema tafadhali
 
mbona akuweka sign kama ni Juhudi zake? hizo ndio Kiki Alizokuwa anatafuta sasa zimewekwa wazi wacha mka uchi akae uchi
 
Tunaomba taarifa rasmi pia kuwa ni nani kati ya chadema na Mkuu wa mkoa alie-initiate ujenzi wa nyumba 18 za Polisi tafadhali. Ebu tusaidieni kwa taarifa sahihi
 
kutokana na Kazi yangu nitawaletea Taarifa rasmi Maana mimi siegemei upande wowote wala kazi yangu ya uwandishi wa habari hairuhusu lakini kwa hili la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Jiji la Arusha ni Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro
 
Mbona kule facebook Mrisho Gambo anajitapa kuwa ni juhudi zake kufanikisha ujenzi wa hospitali hii? Ebu Chadema tupeni taarifa sahihi na zenye uhakika tafadhali. Tunaomba taarifa ya ujenzi wa ile hospitali ya mama na mtoto kama ilivyoahidiwa na Mbunge Lema tafadhali
hospitali ya Mama na Mtoto Ni Juhudi za Mbunge wa Jiji la Arusha Godbless Lema na Hospitali hii ya Wilaya ya Jiji la Arusha ni Meya wa Jiji la Arusha Kalisti lazaro
 
Back
Top Bottom