Uchaguzi 2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Kushinda Leo sio milele. umakini Wa chama pale kinaposhindwa ni hatua ya kwanza itakayoanza NAyo. Chadema tulieni Na viongozi mje Na kauli ya ushupavu ya kuleta mshikamano najua itakuwa sio ya kuingia barabaran tujipange
 
JUMLA YA KATA 26
KATA 6-CCM ILIPITA BILA KUPINGWA
KATA 20 ZILIINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CCM IMECHUKUA ZOTE
 
Hakuna jimbo linaloitwa Arusha vijijini huku Arusha

Majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Arusha ni saba (7) nazo ni
  1. Arusha Mjini
  2. Arumeru Magharibi
  3. Arumeru Mashariki
  4. Karatu
  5. Longido
  6. Monduli
  7. Ngorongoro
 
Lissu amekuja kuua chama. Na ndio mgombea pekee CHADEMA alieandika historia mbaya kabisa ya kufelisha wagombea udiwani na ubunge wengi kuliko kipindi chochote kile.

Sidhani unasema kweli. CCM ndio imeia upinzani. Anza kukumbuka kusimamishwa kwa mikutano ya siasa, kuhama kwa wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani. Kusitishwa kwa bunge live. Wakati huo huo Rais akifanya hybrid mikutano kama mkuu wa nchi na mwenyekiti wa chama! Umesikia majimbo ya wapinzani yalinyimwa maendeleo kwa kuchagua upinzani! Mpiga kura akishaambiwa hilo unadhani atafanya nini??

Shughuli za siasa hazianzi na kuishia kwenye uchaguzi tu!! Siasa za upinzani hazikubaliki kwa CCM.
 
Back
Top Bottom