Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

Lema akitoka awe na heshima na adabu kwa Rais wa nchi hii Rais anamuwakilisha Mungu kwenye kutawala Dunia .
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,hata wewe??rais yupi anayemwakilisha Mungu??acheni kulinganisha Mungu na vitu vya ajabu.tafadhalii
 
Acha upumbavu tena ukome kumlinganisha Rais wa nchi hii na Mungu hata rais mwenyewe akiliona bandiko lako atakukemea,Mungu si mwanadam hata aringanishwe na wanadam,nani kati ya wanadam anayeweza hata kujioteshea unywele mmoja juu ya kichwa chake? .Narudia tena Acha UPUMBAVUUUU
Yaani jamaa kanishangaza sana.anachuma dhambi huyu bwe.g.e
 
Kwa nini akae jela miezi mitatu mbunge wa kuchaguliwa? Ni mini alichptaka kuwasaidia wapiga kura wake hasa? Kero zao walimtuma mojawapo ilikuwa ni kumtukana Rais? Haya, tayari keshamtukana Rais, je imemaliza njaa ya wapiga kura? Imejenga zahanati? Imeongeza chakula? Ningeshauri akitoka jela akae na wapiga kura wake awaombe msamaha, la sivyo hiyo miezo 4 jela kawaibia muda wao. Mbunge alitakiwa awe kazini akiwatumikia lakini yeye akachagua amtukane
Rais. WM

Vema, je unaweza kulieleza jukwaa hili hayo matusi unayodai Lema kamtukana Rais?
 
daah, ila bwana yule kamuonea sana. we pray for him atoke kisongo aungane na family yake bila kusahau wapiga kura wake
Ila atakuwa keshakomeshwa vizuri sana awe na adabu akirudi kitaa. Na huyo jaji hafai!
 
Ule ushahidi wa Vodacom uliishia wapi kuna watu wakaanzisha kampeni ya kuvunja lainii
 
Ila atakuwa keshakomeshwa vizuri sana awe na adabu akirudi kitaa. Na huyo jaji hafai!

huwezi kumkomesha mtu ambae analala na kula kumkomoa ilifaa akiwa huko apewe nyundo na kuvunja mawe makubwa
 
Akitoka na awe na adabu otherwise atachika mpaka miaka kumi hii iishe

kumbe miaka kumi na kwa ajili ya kudil na raia wenye haki sio kishughulikia uchumi wa nchi???

kwa akili na mawazo yako unga ni sahihi kuuza 2200 na nyanya moja kuuza mia tatu
 
huwezi kumkomesha mtu ambae analala na kula kumkomoa ilifaa akiwa huko apewe nyundo na kuvunja mawe makubwa
Kakomeshawa, maana yeye yupo gerezani kwa kipindi chote hicho na wife huku wadau wanajisevia kiulani! hahahah, chezea system wewe!
 
Kakomeshawa, maana yeye yupo gerezani kwa kipindi chote hicho na wife huku wadau wanajisevia kiulani! hahahah, chezea system wewe!

kwani mwanamke uliambiwa ni wa kwako peke yako? unawaza ngono tu kwenye akili yako gerezani hakumkomeshi mtu ndio mana wez wakitoka wanaiba tena
 
BAADA ya maamuzi haya ya mahakama ya Rufaa ya Tanzania . Ni wakati muafaka ofisi ya DPP kujitathimini kama haikujunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na kama ilifanya hivyo kwa shinikizo lolote ni lazima watanzania wajue huyo mtu anayelipwa kwa kodi ya watanzania anawezaje kuvunja katiba na abaki bila kuwajibishwa?
 
Umeandika upupu, usirudie tena kuandika huo ujinga. Lema anapigania haki ya nani, aropoke upuuzi wake ndio kupigania haki?
Mropokaji ni wewe kiazi,Lema alisema ameoteshwa sasa karopoka nini,nani asiyejua uchwara alikataza mikutano Lema alikuwa anajaribu kuonyesha hisia za dikteta mwisho wake ninini,chura
 
Back
Top Bottom