Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Naichukia yule jamaa pale jengo jeupe kwa sababu ya upuuz km huu unaoendelea
Au awe mwoga wa kumuogopa mtukufu!?Lema akitoka awe na heshima na adabu kwa Rais wa nchi hii Rais anamuwakilisha Mungu kwenye kutawala Dunia .
Rais ni muwakilishi wa Mungu hata kwenye maandiko matakatifu anaheshimika hana tofauti na manabii akina DaudiSiwezi kukubali kuwa anamuwakilisha MUNGU! labda mungu. Huwezi kutesa watu hivi kwa nguvu siasa,hii laana tu.
SimpleMtahangaika sana.Sasa hivi mnatusaidia hata kufanya kampeni za TLS,hatutapoteza muda wa kufanya kampeni
UDSM
Lema akitoka awe na heshima na adabu kwa Rais wa nchi hii Rais anamuwakilisha Mungu kwenye kutawala Dunia .
Rais ni Mungu wa Duniani anatambulika mpaka mbinguni......Mungu wa mbinguni anajua huku Tanzania kuna muwakilishi wake ambae ni JOHN POMBE MAGUFULIAu awe mwoga wa kumuogopa mtukufu!?
WALIHARIBU NDIO MAANA MUNGU AKAWAONDOA NA WENGINE AKAWAUAIna maana hata wakina idd amin na sani abacha walikuwa wanamuwakilisha Mungu
George bush wa usa na iraq
Yuko nje anasoma ndo anamalizia semester ya mwishoHuyu Chalii sijui ana matatizo gani.anajitenga sana na wenzake simuelewi
Mzee wa magogoni atakuwa kishajipenyeza tena atadili na upinzan five years inakatika kama mvua mala drugs mala njaa mala watumishi hewa its like nyani anavyorukia matawi.Kesho hatuweza kupata dhamana kamwe.
Kuna mambo ambayo bila hii kesi nisingeyajua, mfano kujua jinsi binadamu wa aina moja (taifa, rangi nk) kushinikiza na kufurahia mateso ya mwenzie!Kwa nini Mahakama ya rufaa isingeamua moja kwa moja aachiliwe huru kama kilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa kisheria? Is this not another delay tactic?
KUTOKA KWA WAKILI MSOMI KIBATALA
Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetupa Rufaa zote mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya Lema. Serikali ilikubali yenyewe kwamba Rufaa zote mbili hazina mashiko kisheria; kama tulivyokuwa tunasema siku zote tangu wakate Rufaa hizo.
Files sasa zitapelekwa Mahakama Kuu ili kuendelea na mambo yanayohusiana na dhamana.
Mahakama pia imezungumzia kwa masikitiko makubwa namna ambavyo Serikali imekuwa ikitumia case hii kama mbinu ya kutesa na kusumbua watu na imeshangazwa namna ofisi ya DPP ilivyoji-conduct. Imeshangazwa namna wanasheria wanavyoweza tia najisi fani kwa mbinu za ajabu ajabu mahakamani.
Imemkaripia sana DPP; in open court, too.
Kwetu sisi ni vindication kwamba we were always right. Always.
Soon safari hii itaisha.
Motto; if U know U are right, persevere and let all temporary things pass. U will eventually be vindicated.
Hatukuumbuwa roho ya hofu. Wewe na Mungu wako huyo, cheo ni dhamana.Rais ni Mungu wa Duniani anatambulika mpaka mbinguni......Mungu wa mbinguni anajua huku Tanzania kuna muwakilishi wake ambae ni JOHN POMBE MAGUFULI
Ni Steve Nyerere wa Arusha hapo nakubaliLema ni Nyerere wa Arusha
WALIHARIBU NDIO MAANA MUNGU AKAWAONDOA NA WENGINE AKAWAUA
Hapo umemuudhi nani?Kauli ya kuudhi ni kama hii "Wewe Kibiti 1 ni Shoga"..
Rais ni Mungu wa Duniani anatambulika mpaka mbinguni......Mungu wa mbinguni anajua huku Tanzania kuna muwakilishi wake ambae ni JOHN POMBE MAGUFULI