Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

ukitoka utie adabu kipindi hiki sio cha jk, la sivyo utaozea jela. acha kuropoka
haki haiombwi ina daiwa,JK mbona aliruhusu polisi kunyanyasa raia akiwemo Dr.ulimboka,mauaji ya bomu kwenye mkutano wa chadema n.k
 
Simple
Mwambieni Lema atoe tusi moja tu ajihakikishie miezi sita mingine ya rumande!
Piiipoz!!

Hakuna mahali alipotukana mnashindwa kuupokea ukweli.Tatizo la watu wasio na elimu ya kutosha ,kama mnaweza kuforge vyeti mnategemea maendeleo yanatoka wapi??Matokeo yake mko nyuma kama mkia wa mbuzi.

Tengenezeni chama chenu
 
Baba katika jina la yesu lema asitoke Mungu wa yakobo na Ibrahim unay3jibu maombi yetu naomba lema asitoke kwa mamlaka uliyonipa ya kuuamuru mlima na kuuhamisha nasema lema ataishi lumande mpaka mbingu utakaposikia toba juu kweli juu ya Ardhi
Hivi wewe unajua thamani ya jina la Yesu? Au unalitaja taja tu kijinga?

Usimuhusishe kwenye ujinga wako huna cha kuchangia kaa kimya
 
malipo ni haha hapa duniani, amuulize mwanae daudi nani vile? basheti sijui
 
Lema akitoka awe na heshima na adabu kwa Rais wa nchi hii Rais anamuwakilisha Mungu kwenye kutawala Dunia .
What the hell did you just write? Yani Magufuli ni sawa na Mungu? Mwenyezi Mungu akusamehe, kama kweli una dini nenda katubu. Mungu hamuoenei mtu, na kwa rehma zake hata wanaomkataa na kumkashifu huwa anawaacha waendelee kupumua. Mungu hadhihakiwi
 
Nabado atasota ndani mpaka awe na adabu na awache kutukana
Kajifunze lugha kwanza Mkuu.

Awache ndiyo nini?
Nabado ndiyo nini?

Pia katika kujifunza lugha ya kiswahili usisahau kumwambia mwalimu wako akufundishe mpangilio mzuri wa maneno.
 
Kesi yenye dhamana imemuweka mbunge mbunge ndani for three months!!Uzuri ni kuw ainaingia katika vitabu vya sheria na miaka ijayo itatumika kama rejea katika kumtia adabu mwingine.Suala ni kuwa je wakati huo atakuwa Lema tena?Mtakaokua hai mtatueleza!!
sasa watakuelezaje kama wewe utakuwa hauko hai?
 
KUTOKA KWA WAKILI MSOMI KIBATALA

Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetupa Rufaa zote mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya Lema. Serikali ilikubali yenyewe kwamba Rufaa zote mbili hazina mashiko kisheria; kama tulivyokuwa tunasema siku zote tangu wakate Rufaa hizo.

Files sasa zitapelekwa Mahakama Kuu ili kuendelea na mambo yanayohusiana na dhamana.

Mahakama pia imezungumzia kwa masikitiko makubwa namna ambavyo Serikali imekuwa ikitumia case hii kama mbinu ya kutesa na kusumbua watu na imeshangazwa namna ofisi ya DPP ilivyoji-conduct. Imeshangazwa namna wanasheria wanavyoweza tia najisi fani kwa mbinu za ajabu ajabu mahakamani.

Imemkaripia sana DPP; in open court, too.

Kwetu sisi ni vindication kwamba we were always right. Always.

Soon safari hii itaisha.

Motto; if U know U are right, persevere and let all temporary things pass. U will eventually be vindicated.

mahakamani inamkaripia je DPP kazi yake ni kusimamia sheria na aliyemnyima dhamana lema ni DPP au mahakam , lakini nyie mawakili mmepiga sana pesa kipindi hiki
 
hao Mungu amewaacha waendelee kuongoza maana wakiondoka nchi zao zitaingia kwenye machafuko hao ni walinzi wa nchi zao
Kama Mungu anazihakiwa vile na mtu wa zimbabwe kwamba hakuna mtu wa kuliongoza taifa lile ni yy peke yake kapewa huo utash hata akifa watu wapigie kura kabuli lake bas anaupendeleo
 
Majaji watatu kesho 8:00 Asubuhi (27/2/2017) watasikiliza rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

Let us see what will happen!

=======
Lema akiingia Mahakamani leo

View attachment 474935

Update kuhusu kesi ya Mhe Lema.

Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetupa Rufaa zote mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya Lema. Serikali ilikubali yenyewe kwamba Rufaa zote mbili hazina mashiko kisheria; kama tulivyokuwa tunasema siku zote tangu wakate Rufaa hizo.

Files sasa zitapelekwa Mahakama Kuu ili kuendelea na mambo yanayohusiana na dhamana.

Mahakama pia imezungumzia kwa masikitiko makubwa namna ambavyo Serikali imekuwa ikitumia case hii kama mbinu ya kutesa na kusumbua watu na imeshangazwa namna ofisi ya DPP ilivyoji-conduct. Imeshangazwa namna wanasheria wanavyoweza tia najisi fani kwa mbinu za ajabu ajabu mahakamani.

Imemkaripia sana DPP; in open court, too.

Kwetu sisi ni vindication kwamba we were always right. Always.

Soon safari hii itaisha.

Motto; if U know U are right, persevere and let all temporary things pass. U will eventually be vindicated.

Na Peter Kibatala (Wakili)
Akitoka mpeni ushauri nasaha ! Akirudia ropoka ropoka atajikuta ansrudi lupango !
 
Kama Mungu anazihakiwa vile na mtu wa zimbabwe kwamba hakuna mtu wa kuliongoza taifa lile ni yy peke yake kapewa huo utash hata akifa watu wapigie kura kabuli lake bas anaupendeleo
ni kama Tanzania Magufuli ndio rais wa maisha maana hakuna mbadala wake
 
Back
Top Bottom