Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

Nurujamii

JF-Expert Member
Jun 14, 2007
414
195
Kwa nini Mahakama ya rufaa isingeamua moja kwa moja aachiliwe huru kama kilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa kisheria? Is this not another delay tactic?
 

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,472
2,000
Kwa nini Mahakama ya rufaa isingeamua moja kwa moja aachiliwe huru kama kilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa kisheria? Is this not another delay tactic?
Kuna mambo ambayo bila hii kesi nisingeyajua, mfano kujua jinsi binadamu wa aina moja (taifa, rangi nk) kushinikiza na kufurahia mateso ya mwenzie!
 

Rugaiyulula

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,523
2,000
KUTOKA KWA WAKILI MSOMI KIBATALA

Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetupa Rufaa zote mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya Lema. Serikali ilikubali yenyewe kwamba Rufaa zote mbili hazina mashiko kisheria; kama tulivyokuwa tunasema siku zote tangu wakate Rufaa hizo.

Files sasa zitapelekwa Mahakama Kuu ili kuendelea na mambo yanayohusiana na dhamana.

Mahakama pia imezungumzia kwa masikitiko makubwa namna ambavyo Serikali imekuwa ikitumia case hii kama mbinu ya kutesa na kusumbua watu na imeshangazwa namna ofisi ya DPP ilivyoji-conduct. Imeshangazwa namna wanasheria wanavyoweza tia najisi fani kwa mbinu za ajabu ajabu mahakamani.

Imemkaripia sana DPP; in open court, too.

Kwetu sisi ni vindication kwamba we were always right. Always.

Soon safari hii itaisha.

Motto; if U know U are right, persevere and let all temporary things pass. U will eventually be vindicated.

Ni kawaida haki ya mtu au watu inaweza kucheleweshwa tena sana tu, lakini uwa haifi na kuzikwa kabisa.
Mfano mwema ni wa akina Mandela na wote waliopigania uhuru, walikamatwa wakateswa na kufungwa wengine vifungo virefu hadi maisha lakini mwisho wa yote walipata haki ya walichokuwa wanapigania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom