Arusha: Mahakama yamkuta Lengai Ole Sabaya na kesi ya kujibu

Walafi ndo mlimchukia mwamba jemedari wa vita na kwa kawaida kamanda mpiganaji haogopi vita kwani kufa kwake ni heshima kubwa sana na kwetu sie watanzania.

Mkisoma THE GRAIN OF WHEAT mtajua ni nguvu gani walio wake tulivyoimarika maradufu, tutapambana kwa kila mbinu na hata ikibidi kumalizana na baadhi yenu kwa ajiri ya kizazi hiki kizalendo ..hamna wa kumtisha as na nyie mnaweza kufa tu anytime soon.
 
Dizaini ya watu kama nyinyi huwa ni hasara sana aisee. Hebu mjibu mwana CCM mwenzako hapo juu, kumchafua mtu ambae ameshakufa inasaidia nini?

Na useme wazi wazi kuwa Rais Samia anamchafua Magufuli maana ujinga wote wa huyo unaemtetea ulianzishwa na Samia.
Acha kuonyesha ujinga. Mtu amebakia mioyoni mwa watu kwa matendo mema ni mtu anaishi. Waovu na wajinga waliyochukizwa na matendo yake mema watajidai kusema amekufa.
 
Acha kuonyesha ujinga. Mtu amebakia mioyoni mwa watu kwa matendo mema ni mtu anaishi. Waovu na wajinga waliyochukizwa na matendo yake mema watajidai kusema amekufa.
Okay hajafa bado anaishi, umefurahi sasa? Bado anaishi kuwa na amani.

But kwanini unanitukana mimi na nimekwambia umjibu ccm mwenzako aliyeuliza kuna faida gani kumsakama marehemu? Kwanini usimtukane johnthebaptist ?
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri...
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.

Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri...
Wewe kweli kibwebwe. Una akili ndogo sana!

Sabaya alishtakiwa nanani? Unajua asili za makosa yake? Unajuwa sabaya ameua na kuuliza watu wangapi?

Ati chadema wapinga maendeleo? Akili za wapi hizi? Chadema ilizaliwa 1992 tu hapo. Tuseme ni chadema inayosababisha mpaka leo watu wanaishi kwenye nyumba za Tembe huko BAHI?

kama umeumia kwa kifo chake KAMFUFUE
 
Naona wamekupa like wajinga wenzako 🙄🙄
Bora mimi mjinga - tafsiri yake ni kuwa naweza kufundishwa nikaelewa.

Yule shujaa wenu alikuwa ni moron - yaani alifundishwa lakini bado hakuna kilichokaa kichwani. Zero. Zilch!
 
Back
Top Bottom