Arusha; mahakama yakataa Mbowe, Lissu kukamatwa kwa hati yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha; mahakama yakataa Mbowe, Lissu kukamatwa kwa hati yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, Nov 23, 2011.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajf,
  Gazeti la Tanzania daima la leo limeripoti kuwa,Mahakama ya hakimu mkazi mjini Arusha, imekataa ombi la wakili wa Serikali Haruni Matagane, aliyeomba mahakama itoe hati ya kukamatwa kwa M/kiti wa Chadema Taifa na Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu kwa kosa la kutohudhuria mahakamani hapo jana .

  Awali, Wakili wa utetezi Kimongoro alieleza mahakamani hapo kuwa, Mbowe na Lissu wameshindwa kufika mahakamani kwa sababu walikuwa kwenye kikao cha kamati kuu hadi usiku na baada ya hapo ndege waliyotegemea kusafiri nayo kuja Arusha ilibadili ratiba ghafla hivyo viongozi hao kushindwa kuja mahakamani.

  Wakili wa serikali alipinga hoja hizo kwa hoja kwamba kama ndege imebadili ratiba mbona vilelezo vya kuthibitisha hilo havijaletwa mahamakani? Hivyo, akaendelea kuisihi mahakama hiyo itoe hati ya kukamatwa kwa viongozi hao.

  Akitoa uamuzi mahakamani hapo, hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo Devotha Msofe, alisema anakubalina na hoja za utetezi zilizotolewa mahakamani na wakili Methodius Kimongoro - Kwamba kubadilika kwa ratiba kuliawaathiri Mbowe na Lissu.
  Pili, uamuzi wa kukamatwa kwa viongozi hao ( Kama ingekuwa ni sawa) inabidi ufanywe na hakimu anayesikiliza kesi hiyo( D. kamuzora) ambaye yeye alikuwa anaedesha kesi hiyo kwa niaba yake.
  Nawasilisha.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huyo Mheshimiwa Mama Hakimu anaelewa anachokifanya!
  Kwa ufupi hilo ni suala la common sense tu, ukiamuru akina Mbowe wakamatwe sasa hivi tegemea matatizo mazito!
   
 3. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakimu Devotha Msofe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! siyo yule aliyekataa kumtoa Lema mahakamani? Kama ndiye basi hongera sana maana atakuwa alijifunza kitu kizuri kwa issue ile ya Mh. Godbless Lema.:canada::usa2:
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Hakimu kumbe alienda shule siyo wale wanaopita shule alafu wanakuja kupewa kazi..hongera kwa kuwa independent woman
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kifupi sioni kama mama huyu atadumu kazini. Amegusa mkia wa mnyama mwenye magamba.
  Tumuombee.
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hao ndio mahakimu wanaotakiwa sio huyo wakili njaa.
   
 7. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Genekai,
  Jambo la pili baadhi ya mahakimu wameshaanza kuhisi kwamba, kutumiwa kisiasa na ccm kutahatarisha kazi yao mbele ya safari
   
 8. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Well done..maumivu ya kichwa huanza pole pole...kuna usemi usemao..kama huwez kupigana nae ungana nae..wameshagundua chadema si chama tu bali ni nguvu ya umma ambayo huwezi kuishinda..upepo unaanza kubadilika!
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hakimu aliyekataa kumtoa Lema ni Judith Kamara
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mkuu si kazi tuu hata familiya zao kama wanasimamia haki waanze na mafisadi
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ukandamizaji wa upinzani nahisi kama utakuja kupelekea mtu achinjwe kama kuku hapa nchini kwetu ..........mungu aepushie mbali
   
 12. M

  Malova JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  haswaaaaaaa, ndiko tunakoelekea
   
 13. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tatu serikali haina pesa za kuwasafirisha kwa ndege maalumu kwenda Arusha kama ingewakama.
  Nnne sakata la kumkamata Mh Mbowe na kusafirisha iliigaliu serikali mamilioni y a shilingi na wizara na mambo ya ndani mpaka sasa wameshindwa toa ripoti ya matumizi hayo yasiyo ya razima.
   
 14. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha mtoto wa mkulima wala nini, safu yote ya uongozi imeoza. Huyo kigogo mkuu anafadhiliwa na muasia anayemiliki kampuni inayojenga Vijana Complex. Vifaa vyake vyote hupitishwa bandarini kwa vimemo hakuna cha ushuru wala VAT inayolipwa. Luhanjo na Jairo ni heroes kwa watumishi wabadhirifu wa serikali ya JK. Rushwa imepaa hakuna hatua zinazochukuliwa.
   
 15. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mungu atuepushe, tusifike huko japokuwa sioni kama ccm wanahisi ukubwa wa tatizo mbeleni. Hawajui kuwa kuikandamiza chadema kwa nguvu ni kupambana na nguvu ya umma ambayo hawatashinda kamwe.
   
 16. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kama hana uwezo wa kutoa hati, ina maana hakuwa na uwezo wa kumtoa vile vile. Ukiwa na ufunguo wa kuingia utakuwa na ufunguo wa kutokea.
   
 17. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tunaendelea vizuri hatua ya kwanza kwenda kwenye mabidiliko ni lazima ulete mapinduzi ya kifikra kwa watu naona somo hilo linaonekana kuanza kueleweka kwa wanaserikali taratibu tutafika
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  mundali nahisi umechanganya mada. jipange tena vizuri
   
Loading...