ARUSHA: Maduka matano yameteketea kwa moto

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
ARUSHA: Maduka matano ikiwemo Supermarket ya Mianzini yameungua leo, inadaiwa chanzo ni short ya umeme, taarifa zaidi nitaendelea kukupatia.

C1JPzVGXEAAWt1e.jpg

C1JPzUMXAAAokpn.jpg

C1JPzTGXgAEHHMH.jpg
 
Mtaa wangu hapo nikiendaga chuga hapo tgpesa natoaga hela sana hapo min supermarket kuna sister anauzaga bis nilikua namfil mby
 
Nipo hapa eneo la tukio nikitokea mahakamani,Kweli moto mkubwa na mitungi ya gesi imechochea sana moto.

Madereva na makonda wamechota fedha kwenye maduka,polisi kamateni hao wanaopaki Coaster za Arusha-Kilimanjaro wanajua .
 
Hakuna mtungi wa gesi uliolipuka japokuwa kuna milipuko ambayo ni minor na alisababishwa na perfumes na pombe kali zile ambazo ni explosives in nature
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom