Arusha: Madiwani Wawili wa CHADEMA wajiuzulu na kujiunga CCM

Hii ccm ya magu na Polepole ni kituko kweli! Unajipatia madiwani wawili kwa hadaa lakini unapoteza imani ya moyoni kwa wananchi wa kawaida 5000 hiyo ni akili au matope?
Kama watu wanajiunga kwako kwa mapenzi na kufurahishwa na utendaji wako nini sababu ya uchaguzi wa hila?
Hii tathimini ya kuwa wananchi wa kawaida 5000 wanapoteza imani ni kwa utafiti upi? Nauliza tu. Povu sana hata hivyo nahitaji kufua
 
Usiseme Watanzania haiwaitaki CCM, sema baadhi ya Watanzania, unatusemea wote ili iweje? Una uhakika kuwa Watanzania wote hawaitaki CCM?
Hili ndo kubwa sn sn.Watanzania hawaitaki ccm. Kwahiyo acha wajiangamize kwa kuwanunua viongozi huku watanzania wote wakiwa na MSIMAMO wa kuikataa.


Na chuki,hasira,kisasi vinapanda.Itafika muda tu wa malipo.
 
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha, Kalist Lazaro amekabidhiwa rasmi kadi ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi kwa Serikali za Mitaa viwanja vya Mbauda jijini Arusha.

Pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha (Chadema), Noah Lembrise na diwani wa Oltumet, Robert Labani wamejiuzulu na kuhamia CCM.
Hatimae Njaa imewapata wahusika nendeni Wasaliti tuambieni na sisi bei imefika kiasi gani tuje
 
Huu upuuzi ulipostiwa sana humu na vijana wa Dk slaa mwaka 2010 wewe kuuleta humu Leo unaonesha kuwa bado kigori na chuchu zimekusimana ila utatumia ule Mtandao

State agent
Unamaanisha siku hizi hugongwi kama ulivyokuwa unagongwa 2010? Na marinda je yano?
 
Back
Top Bottom