2simamesote
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 109
- 13
Mkuu Ndallo vp kuhusu kuwazomea? Ruksa?
<br />
<br />Aibu yake Mkuchika!
<br />
<br />Aibu yake Mkuchika!
hatukuwahi kuacha kuwachomea labda tulipunguza sasa ndiyo tutawazomea zaidi...Kwa tamko hilo wananchi wanaruhusiwa kuwazomea?
Mkuu leo sipo maeneo hayo tuwekee picha mkuu...Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
Na hasa huyu PM kilaza, yeye alishauri waende mahakamani, hajui alichokuwa anakiongea. AIBU YAO MAGAMBA.Kama habari hii ni ya kweli basi si Mkuchika pekee aliyeumbuka bali muumbukaji mkuu ni PM.
Pinda ndio wakwanza kutoa ushauri kuwa waende Mahakamani wakati anajua fika kufukuzwa Chamani kuna vyombo ndani ya chama vya kusikiliza rufani na sio mahakama.
vipi umetumwa????wapi zitto igunga? Au yeye ni mgeni rasmi wa kwenda kufunga mkutano kwa kuwa yeye ni mkubwa kuliko mbowe na slaa? Kwa sasa yuko busy?
Sasa hivi hapa kwenye jiji la Arusha ni cherekochereko kwenye mzunguko wa clock Tower wafuasi wa chama cha Chadema wanasherehekea.
Aibu yake Mkuchika!
Sasa hivi hapa kwenye jiji la Arusha ni cherekochereko kwenye mzunguko wa clock Tower wafuasi wa chama cha Chadema wanasherehekea.
Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
Najua imewauma sana....pole sana na badokweli we ni ndallo.
unapost thread halafu unakuwa wa kwanza kuipa uhai? Ungetulia ukasubiri wadau waseme, halafu wewe ungejibu hoja zao.
sio lazima ukubaliane na mimi, ni mtazamo wangu tu
Aibu kwa waziri mkuchika, Hii ni kuonesha kwamba Chadema sasa haitazuilika kwa mtindo huo. Wale jamaa itabidi wahame jiji la Arusha. Nahisi huko ndiko alikokuwepo Lema. Kazi kweli.