Arusha: Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA wabwagwa mahakamani!

kweli we ni ndallo.

unapost thread halafu unakuwa wa kwanza kuipa uhai? Ungetulia ukasubiri wadau waseme, halafu wewe ungejibu hoja zao.
sio lazima ukubaliane na mimi, ni mtazamo wangu tu
Mkuu Ndallo tuwekee picha bwana achana na huyu jamaa inaonekana kachamwa na hayo matokeo CDM hoyeeeee!!!!!!!!!!!!!

Ikifika Saa Mbili usiku wazime na umeme wao kama kawaida yao tusipate habari yoyote!! Maana ndo technic wanayotumia siku hizi.

Hao mahakimu unaonesha kuwafurahia na kuwaamini. Sawa, watakapowalamba miaka 5 jela Slaa, Mbowe na Lema kwenye kesi yao ya kusababisha mauaji Arusha 5 Jan 11 ......USISITE KUWAPONGEZA KAMA ULIVYOFANYA HAPA.
Mapolisi waliopiga risasi na kuuwa watu umewaleta mahakamani??????????? Mbowe na Slaa walikuwa na bunduki????????????Tumia akili kesi ya murder ni kitu ingine bwana, subiri uone sheria zichukuwe mkondo wake!!!!!!!!!!

Uchaguzi ndio utaamua kama kweli watu wamefurahia au la!

We are going to WIN this time around..chadema watakula jeuri yao

Mjanja gani achague ccm, chama kizee, kimekongoroka hakiwezi kusimamia mapato ya nchi, kinachezea rasilimali za waTz, kinaua raia wake hovyo, kiranja mkuu ni ****, yani chama kimechoka mbaya nani awachague? BORA TUONGOZWE NA MAROBOT KULIKO CCM

Tulisema humu JF kuwa wale madiwani wametendewa haki kwa misingi ya sheria na Katiba, na kwa haki hiyohiyo ajiandae mzee Shibuda, hatutamuonea ila atapewa haki yake stahili.
CHADEMA tunaweza kwakua tupo kwaajili ya kutumikia UMMA

Poor PM Hon.MKPP!

Mkubwa huyu anadhalilika kwa mara nyingine tena kwa kuonekana mnafiki na mtu ambaye hayuko tayari kuona mabadiliko ya kiitikadi!
Hakika Arusha iko juu sana KIFIKRA kulinganisha na huyu MKPP.

Akumbuke ni Arusha hiihii iliyosema kuwa MKPP ni mwongo na na uwongo wake 10 ukawekwa hadharani!...na hakuthubutu kujibu tuhuma hizo, mpaka akaokolewa na Spika wa Bunge kwa kutupilia mbali hoja hiyo ndani ya mjengo.

Hao akina Mkuchika siwezi kuwaongelea, maana hao wanatumika!

Arusha itakayochagua ccm bado haijazaliwa, na wenye mawazo hayo nawaonea huruma!
Kama ni fedha leteni, tutazibugia kama pilau linaloseviwa IGUNGA, na kama ni t-shirt zitavaliwa sana, lakini mjue 3/4 ya waliovaa tshits zenu na kanga watawadhalilisha siku ya box la uchaguzi!

Sasa hivi hapa kwenye jiji la Arusha ni cherekochereko kwenye mzunguko wa clock Tower wafuasi wa chama cha Chadema wanasherehekea.

kama nipo eneo la tukio vile..ni ushindi kwa demokrasia.!

Mkuchika ni sawa na kenge. Kenge huwa asikii mpaka umtandike mpaka damu zimtoke maskioni. Mahakama imemtandika kenge midamu maskioni pwaaa!
Hii lugha-picha iliyotumika hapa imeniacha hoi!
Najaribu kufikiria ni mazingira gani yaliyomfanya BiMkora ajifunze jambo hili la kenge!
Kawaida Kenge si mdudu wa kufugwa, na hana ujirani na binadamu kihivo, sasa sijui Bi Mkora alipataje fact hii!
Au kuna watu wanafuga Kenge, na kijifunza tabia hii ya kibri cha kenge ?:redfaces:

Kwani kulikuwa na uwezekano wa kushinda? Sheria zipo wazi ukifukuzwa na chama huwezi ukawa muwakilishi tena wa watu mpaka utafute chama ili upate fursa ya kugombea kupia tiketi ya chama husika. Hasa ukichukulia hakuna mgombea binafsi kwa bongo hii

Hakika Magamba hufikiri kwa makalio, sheria iko wazi sana na magamba wanajua hivyo.Sasa PM kuwadanganya eti waende Mahakamani kama sio usanii wa Mtoto wa Mkulima ni nini ? Wao hadi leo wamekataa kukubali Mgombea Binafsi lakini ndio hao wanageuka upande wa pili na kusema bado madiwani wale wanaweza kuwa madiwani bila kuwa na chama.Sasa waende CCM tukutane kwenye uchaguzi mdogo.

Arusha itakayochagua ccm bado haijazaliwa, na wenye mawazo hayo nawaonea huruma!
Kama ni fedha leteni, tutazibugia kama pilau linaloseviwa IGUNGA, na kama ni t-shirt zitavaliwa sana, lakini mjue 3/4 ya waliovaa tshits zenu na kanga watawadhalilisha siku ya box la uchaguzi!
Mkuu, umesema...yaani natamani kampeni zianze leo....

Waziri mkuchika ni kibaraka wa ccm! Yupo pale kulinda maslahi ya chama kilichompa uwaziri ndio maana alikuwa anapingana na tendwa! Kwa uamuzi huu wa mahakama ni wazi kuwa bwana mkuchika ameaibika! Kama vipi ajiuzulu kuonesha uwajibikaji

Hii lugha-picha iliyotumika hapa imeniacha hoi!
Najaribu kufikiria ni mazingira gani yaliyomfanya BiMkora ajifunze jambo hili la kenge!
Kawaida Kenge si mdudu wa kufugwa, na hana ujirani na binadamu kihivo, sasa sijui Bi Mkora alipataje fact hii!
Au kuna watu wanafuga Kenge, na kijifunza tabia hii ya kibri cha kenge ?:redfaces:

mkuu kuna methali ya kisukuma inasema hicho alichokisema bi mkora..yeye hapa ametafsiri kwa kiswahili

Mkuu Ndallo tuwekee picha bwana achana na huyu jamaa inaonekana kachamwa na hayo matokeo CDM hoyeeeee!!!!!!!!!!!!!

Kutokana na mazingira ya umeme kua magumu hapa nilipo Mtumishi Wetu muda si mrefu nitaUploard photo ili mpate tukio halisi! kua na subira.

Mkuchika na PM wetu kuna wakati mie nawatizama nakosaga majibu, maana hata sura zao zatoa majibu yakinifu.
TIZAMA HIZI PICHA VYEMA WATAFAKARI HAWA WATU MKUCHIKA NA MWENZIE NAMNA WANAVYOCHUKULIA MAMBO NYETI
images

Back
Top Bottom