MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
MS, Ziada, ritz, Rajeo, Mwita25, Ng'ong'o tupeni maoni yenu
Wanasubiri maelekezo toka kwa viongozi wao waseme nini !
MS, Ziada, ritz, Rajeo, Mwita25, Ng'ong'o tupeni maoni yenu
Mkuu, these people kwa nini wasiende CCmagamba wakapewe ukuu wa Wilaya? wanang'ang'ania nini wakati mabadiliko siyo terminology yao?Nadhani wengi wetu hatujui teminologies zinazotumiwa kimahakama na hata kwa madaktari.....issue iliyotolewa maamuzi leo mahakami wamekiri kuwa kesi hiyo haiwezi sikilizwa kwenye hiyo court...so wanauhuru wa kuendelea kwenye ngazi ya juu zaidi...nilikuwepo mahakamani na huyo hakimu inaelekea kwa taarifa zilizopo kapewa mil 8 kupindisha sheria...mwisho wa siku itajulikana tuu...tuwe makini sana kwenye kushabikia mambo tusiyoyajua maana mwisho wa siku yawezo kuwa ndivyo sivyo.....hiyo kesi sio kana kwamba imetupiliwa mbali maana kwa kiingereza summary dismisal bali pale sio pahali pake...so guys there is still a long way to go....
Ni kweli wale madiwani kama uamuzi ulikuwa na shinikizo basi watalia sana, maana mahakama imepigilia msumari kuwa kama wanataka wakate rufaa kwenye CC ya chama na si mahakamanio tena. Mimi nitoe pongezi kwa hakimu kupractice weledi wake badala ya kuburuzwa! Hiyo ni changamoto kwa hao madiwani kuwa hakuna aliye maarufu kuliko chama. Chama ndiyo kimewafikisha hapo, hivyo hawakutakiwa kubweteka na kuitunishia misuli CC.
Ngoja tuone Mkuchika naye atasemjae baada ya hukumu hiyo.
Wanasubiri maelekezo toka kwa viongozi wao waseme nini !
mbona wanamrembeshea Shibuda, wabutue tu nae
pinda yuko wapiii?