Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Mimi pamoja na makamanda wa hapa jijini Arusha tutakuwa tunawaletea updates za matukio mbalimbali za mikutano ya chadema itakayofanyika leo ikiwa ni yakufunga kampeni za chaguzi ndogo za kata tano (Themi, Kimandolu, Elerai, makuyuni,Kaloleni) na baadae kwenye mkutano mkuu utakaofanyika uwanja wa soweto jijini Arusha, Freeman Mbowe kamanda wa anga akiwa ndiyo msemaji mkuu wa kuwazika CCM.. Mungi, Arushaone, sweetlady na makamanda wengine maana naamini Arusha inamakamanda wengi sana kuliko hata makao makuu ya JF, ninaomaba ushirikiano wenu tutakuwa pamoja...
=============================
Chadema wakiwa na mbunge wa Arusha mjini (Godbless Lema) wamezuiliwa kupita kwenye kata kama walivyopanga ikiwa ni kufunga kampeni kwenye kata hizo, kinachoendelea kwasasa ni kushushwa kwenye magari huku CCM wakiruhusiwa kufanya hivyo yaani kupita kwenye kata mbalimbali na msafara wa magari...
==================
View attachment 97709
Wali wa kushiba unauona kwenye sahani
mkutano wa CCM unaofanyika Ilboru mita kama mia mbili kutoka uwanja wa soweto jijini Arusha ...