Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mimi pamoja na makamanda wa hapa jijini Arusha tutakuwa tunawaletea updates za matukio mbalimbali za mikutano ya chadema itakayofanyika leo ikiwa ni yakufunga kampeni za chaguzi ndogo za kata tano (Themi, Kimandolu, Elerai, makuyuni,Kaloleni) na baadae kwenye mkutano mkuu utakaofanyika uwanja wa soweto jijini Arusha, Freeman Mbowe kamanda wa anga akiwa ndiyo msemaji mkuu wa kuwazika CCM.. Mungi, Arushaone, sweetlady na makamanda wengine maana naamini Arusha inamakamanda wengi sana kuliko hata makao makuu ya JF, ninaomaba ushirikiano wenu tutakuwa pamoja...

=============================
Chadema wakiwa na mbunge wa Arusha mjini (Godbless Lema) wamezuiliwa kupita kwenye kata kama walivyopanga ikiwa ni kufunga kampeni kwenye kata hizo, kinachoendelea kwasasa ni kushushwa kwenye magari huku CCM wakiruhusiwa kufanya hivyo yaani kupita kwenye kata mbalimbali na msafara wa magari...
==================
DSC05530.JPG
View attachment 97709
DSC05528.JPG
Wali wa kushiba unauona kwenye sahani
DSC05521.JPG DSC05521.JPG mkutano wa CCM unaofanyika Ilboru mita kama mia mbili kutoka uwanja wa soweto jijini Arusha ...
 
kama kawaida mkuu.sijui kwa nini mchina wangu unazorota kuload page ya jf,ngoja nimbembeleze wife aniazime ya kwake.
 
Hongera makamanda wa Arusha tupo pamoja msihofu hawa Ccm ni kama mtoto mdogo hawezi kucheza na baba mwenye mji,Bravo Arusha.
 
hahahahah! chadema bana,
kumbe Mbowe ni kamanda wa anga sio??.....................
ila CCM inawakimbiza sana
 
Nimekutana na msafara wa magari 8 ya police na washawasha moja na fire maeneo ya shoprite wanaelekea njia ya kisongo hope ni katika kuwatisha watu
 
...MUNGU awatangulie makamada wote...CHADEMA TULIANZA NA MUNGU,TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU...
 
Back
Top Bottom