Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Nimethibitisha, sema nawewe picha yako chafu sana low quality nikajua umeigugooo
Ni Arusha apo brother
Ni Arusha apo brother
Sawa japo sio mimi niliyeipostNimethibitisha, sema nawewe picha yako chafu sana low quality nikajua umeigugooo
Oya Arif Sasa Hiyo mibarafu unapeleka wapi mkuu na baridi yote iyo.....
Kuna muda ukiambatanisha picha kwenye andiko lako huchelewa kaonekana hivyo wakati uzi unafika picha hazikuwepo.alafu humu kuna watu majini wanasema mtu aliyepost wanamwambia weka picha nyinyi mnatumia app gani kweni au free
BASICS
Cha ajabu nimetokea hapo mjini kuja njiro nafika tu mvua ikaanza kunyesha kidogo tu ya kawaida sana. Hiyo ya mawe imenyesha huko maeneo ya mjini tu
Sent using Jamii Forums mobile app
nimevila jana hivo hatari sana