Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kisongo gereza gumu limejaa watu wa hatar
Jana sijui kama alienda kuoga teh teh teh maana ukingia siku ya kwanza unambiwa ukaoge teh teh jela dunia nyingine mzee

Ova
Daaah alivotoka kuoga tuu wakampaka mafuta aise
JamiiForums1091599320.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mahakama ni chombo huru, na hakitakiwi kuingiliwa na kutumika kisiasa.

Mtuhuliwa Sabaya ameshatinga kizimbani. Ushahidi upo tayari na victims wanaodai kutendewa hayo makosa wapo kama mashahidi wakuu sasa habari za kuahirisha wiki mbili za nini?

Wananchi tuna kiu kikubwa ili tupate ukweli hivyo fanyeni haraka ndani ya mwezi kesi ziwe zimeisha. Sikilizeni mashahidi watatu kila wiki mfululizo na kisha tupate majibu.

Dpp anadai amekamilisha ushahidi na akampandisha mtuhumiwa Sabaya mahakamani kwa nini kesi ichelewe?

Acheni kupokea presha za wanasiasa.
 
Kesi kuahirishwa kwa wiki mbili ni kawaida. Ndio utaratibu wenyewe kwenye kesi za jinai.
Wewe ndiye unyetaka kuingilia kesi kisiasa na kuzivuruga mahakama. Shwaini
 
Mahakama ni chombo huru, na hakitakiwi kuingiliwa na kutumika kisiasa.

Mtuhuliwa Sabaya ameshatinga kizimbani. Ushahidi upo tayari na victims wanaodai kutendewa hayo makosa wapo kama mashahidi wakuu sasa habari za kuahirisha wiki mbili za nini?

Wananchi tuna kiu kikubwa ili tupate ukweli hivyo fanyeni haraka ndani ya mwezi kesi ziwe zimeisha. Sikilizeni mashahidi watatu kila wiki mfululizo na kisha tupate majibu.

Dpp anadai amekamilisha ushahidi na akampandisha mtuhumiwa Sabaya mahakamani kwa nini kesi ichelewe?

Acheni kupokea presha za wanasiasa.

Naona mmemtembelea kawatuma! Ngoja aoshwe
 
Tafadhali usiingilie mwenendo wa kesi wa mahakama zetu. Kama ambavyo imepelekwa kesi ya UAMSHO, Seth na Rugemalira hii nayo itafuata utaratibu ule ule. Wala usiwe na shaka, tunakuhakikishia haki itatendeka. Ila ukumbuke pia tuna msururu wa kesi. Asante kwa uvumilivu Idugunde
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Mahakama ni chombo huru, na hakitakiwi kuingiliwa na kutumika kisiasa.

Mtuhuliwa Sabaya ameshatinga kizimbani. Ushahidi upo tayari na victims wanaodai kutendewa hayo makosa wapo kama mashahidi wakuu sasa habari za kuahirisha wiki mbili za nini?

Wananchi tuna kiu kikubwa ili tupate ukweli hivyo fanyeni haraka ndani ya mwezi kesi ziwe zimeisha. Sikilizeni mashahidi watatu kila wiki mfululizo na kisha tupate majibu.

Dpp anadai amekamilisha ushahidi na akampandisha mtuhumiwa Sabaya mahakamani kwa nini kesi ichelewe?

Acheni kupokea presha za wanasiasa.
Mkae kwa kutulia bwana wenu anyolewe kwa chupa shwaini nyinyi
 
AMEPATA MAWAKILI WAKUMTETEA?
MAKUNDI YA DCs INASEMAJE?
MARAFIKI ZAKE CHAI WANAPELEKA?
 
Back
Top Bottom