Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga......
 
Toa taarifa ya kueleweka! Hicho chama ulichotaja kwenye paragrafu ya 1 & 2 ni kipi? Fanya wewe hukai hapa Arusha ni msomaji tu, soma thread yako yote uangalie kama ungeelewa. Narok kwa asiyejua ni bar atadhani ni sehemu fulani KENYA. Anza upya plz!
 
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga......

Mada haieleweki mwandishi kakurupuka tu tena kishabiki, kubemendwa kubaya sana jamani wazazi timizeni wajibu wenu ili kukuza watoto wenye akili za kutosha.
 
Mwongo utamjua tu, mara ooooh mara sijui, Narok kulikuwa na tukio gani mpaka vijana wa CDM waende hapo. Acha uzushi wewe.
 
user-online.png
Huyu ni mmoja ya wafuasi wa Nape Mnyakyusa!
Shondola
Join Date : 14th September 2012

Location : Endulen
Posts : 70
Rep Power : 328
Likes Received26
Likes Given0
 
tafuta mhariri wewe..hujuikutoa habari, source iko wapi? umeegemea upande mmoja mmh kazi kweli kweli
 
Mkuu ccm kutumia risasi ni kawaida yao,si unaona kule igunga? Ccm wao wanaamini wapo juu ya sheria! Huu ni ulevi wa madaraka,na siku moja ccm watalivuruga taifa letu!
 
Hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee Arusha. CCM mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.
 
Hiki chama hata kama hakuna mtu yeyote atakayewaanika kwa ukilaza wao, wao wenyewe watapaza sauti kama mleta mada, hii strategy yao ndo inaenda mwisho sijui wana plan gani tena
 
Wewe peleka uongo wako huko! Mimi mimeamka na hangover na nilikuwa Narok jana. Hakuna kitu kama hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom