Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,659
- 12,283
Hao madalali waliojichokea wewe ndio unawalisha na kutia mafuta kwenye nagari yao?tour guide wamejichokea tu wanaolewa na vibibi vya kixungu....Madalali wa madini pale ottu hawana hata senti tano
Unadhani tour guides wote wameolewa na bibi wa Kizungu?
Wewe hutaki kuolewa?? Inaonekana una wivu wa kike tena mwenye mimba!