Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

tour guide wamejichokea tu wanaolewa na vibibi vya kixungu....Madalali wa madini pale ottu hawana hata senti tano
Hao madalali waliojichokea wewe ndio unawalisha na kutia mafuta kwenye nagari yao?
Unadhani tour guides wote wameolewa na bibi wa Kizungu?
Wewe hutaki kuolewa?? Inaonekana una wivu wa kike tena mwenye mimba!
 
Kwenye pilika pilika zangu za hapa na pale nimejikuta nikidondokea jiji la Arusha. Jiji limechangamka sana ila sasa vijana wengi ni wachafu sana kuanzia nguo, miili yao , viatu na wananuk sana midomo yao (iliyopakwa rangi).

Ni kwasababu ya baridi au ni hulka tu jamani?

Halafu wana vimisemo vyao fulani iv vya kihuni huni lakini hawana ujanja wowote.
na mbwembwe zao zote ukishuka kwenye basi tu waambie nimetoka dar wote kimyaaaa na watakuheshimu kimoyomoyo mamaeeeeee
 
Watu wa Arusha washamba sana wana jifanya wagumu kumbe washamba,pombe sana,wizi sana yani wana ujanja flani wa kishamba nimekaa nao mwaka mmoja nikawasoma jinsi walivyo washamba,kuna Jamaa mmoja tulisomaga nae Sua kuna siku kaenda DSM kapotea na alikua anajifanya mjanja
Kwahiyo unataka kumwambia, Vanessa mdee,adam mchomvu, b dozen, Dogo thanks, g nako , ...the list goes on sio wajanja? Nimekaa arusha kuna mitaa nakiri ni wajanja kuliko ata mitaa ya dar. Arusha wana touch of outside world, ni tofauti sana na mikoa mingine Tanzania. Dar kazi yetu ujana wa mdomoni tu , wengi exposure zero. Arusha is very modern tuacheni wivu.
 
Inategemea hao vijana wanafanya kazi gani,labda umewakuta wakiva na nguo za kazi. Uzuri vijana wa Chuga sio ombaomba kama wa Dar. Nilikutana na lisharo Ubungo limevaa vizuri halafu linaniombe nauli ya kurudi maskani kwake. Nikamwambia acha ukuda. Tembea na taa.
 
ningekua sijaishi nao sawa
Anyway mi nilioishi nao na ambao ni washkaji zangu ni wajanja sana , wanyamwezi sana. Ila mbona ata Huku dar kuna mijitu mishamba mingi tu? Mjanja ya mdomoni jitu, kubwa linaishi kwao? Nadhani suala la ujanja na ushamba siyo la kugeneralise. Experience yangu na yako pia hawezi kuwa sawa.
 
Hivi ulishaona mzungu msafi??ukiwa MTU wa pilikapilika lazma uwe rafurafu Ila mmute mida ya kutumia uone....ingawa wapo wasafi,tens wasafi haswa na haswa madem wa chuga wasafi mno.
Wasafi !! ( labda kwa muonekano)
Otherwise hamna kitu hapo lol..!
 
Wewe mjanja wa dar ukienda tanga uswahilini haupotei? Au ukiwa mjanja basi moja kwa moja huwezi potea ktk jiji lolote lile duniani?
Mods kwa nini mnaedit hadi comment yangu? Mimi niliandika mjanja wa dar akienda New York, nyie mnabadili na kuweka tanga uswahilini, kuna tatizo lolote ktk comment yangu mpaka mbadili hivi?
 
Hao madalali waliojichokea wewe ndio unawalisha na kutia mafuta kwenye nagari yao?
Unadhani tour guides wote wameolewa na bibi wa Kizungu?
Wewe hutaki kuolewa?? Inaonekana una wivu wa kike tena mwenye mimba!
hahaha madalali wa ottu pale wenye magari ni wachache sana wengi hata sehemu ya kulala hawana wanakesha pale JSS bar karibu na Kenny Garden
 
Kwenye pilika pilika zangu za hapa na pale nimejikuta nikidondokea jiji la Arusha. Jiji limechangamka sana ila sasa vijana wengi ni wachafu sana kuanzia nguo, miili yao , viatu na wananuk sana midomo yao (iliyopakwa rangi).

Ni kwasababu ya baridi au ni hulka tu jamani?

Halafu wana vimisemo vyao fulani iv vya kihuni huni lakini hawana ujanja wowote.
SIO SIRI NI WAPOTI WANGU LAKINI WANANIKERA MNO THE WAY WANAVYOONGEA KUNA BAADHI YA MANENO HAYAELEWEKI KABISA,PILI ULE UVAAJI WA NGUO AMBAZO NI OVERSIZE PAMOJA NA VIATU YAANI SIJUI NI AINA GANI YA USELA NA SIJUI WAMEKOPI KUTOKA WAPI.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom